Muswada wa Mahakama ya Kadhi kutikisa Bunge

Uislamu ni tatizo sana duniani...hawa mabwana ni wasumbufu sana kiukweli....sasa kama mnataka mahakama ya kadhi si mtengeneze wenyewe na muweke kwenye katiba zenu za kiislamu...hawa jamaa kesho watataka na vyuoni mahakama ya kadhi iwekwe kwenye mitaala......nyie watu ni tatizo sana...
 
Nimejaribu sana kufikiri kuhusu uelewa wa Viongozi wa Kiislamu wanaopigania upatikanaji wa Mahakama ya Kadhi kuingizwa kwenye Sheria za Nchi.

Kwanza itambulike kuwa Serikali ya Tanzania haina Dini ila watu wake wana Dini, Na kila Mtu aabudu anachokiamini isipokuwa asivunje Sheria za Nchi.

Sasa swali langu kwa Viongozi wa Kiislamu. Je ni kwanini mnataka gharama za Mahakama yenu igharamiwe na Serikali wakati fedha za Umma ni za Watu wa Dini zote?.

Na je ni kwanini Mahakama hii msianzishe na kugharamia kwa gharama za waislamu wenyewe?.

Je Ndugu Waislamu kama mngeamua kugharamia hii Mahakama yenu wenyewe si mnaona ingekuwa rahisi kuipata?.

Ndugu Waislamu Wakristo kimsingi hawaikatai Mahakama hiyo, Bali wanakataa Kodi zao kutumika katika shughuli za imani ya Dini nyingine. Hasa hapo ndipo tatizo lilipo. Na Waislamu mtambue hilo.

Hakika Rasimu ya warioba ilikuwa na suluhisho la Mahakama hii na waliijadili kwa kina na waliitolea maamuzi kwa maslahi ya Taifa lote.

Ndugu Waislamu mtambue hii Nchi ni ya Watu wote wenye Dini na wasiokuwa na Dini.

Mungu Ibariki
Tanzania. Aamen.
 
Tatizo kubwa ninaloliona ni unafiki wa viongozi wa seriakli ambao hawana ujasiri wa kusimamia haki, kulinda katiba ya nchi na kutoa elimu sahihi kwa umma. Kama serikali ingesimama ikasema dini yoyote yenye mahitaji yake ya kiimani, yasiyovunja sheria za nchi, wanatakiwa wafanye wenyewe, seriakli itabaki kusimamia na kulinda haki za watanzania wote. Wangesema seriakli haiwakatazi kutengeneza mahakama yao ili mradi utendaji na sheria zake zisikiuke sheria mama za nchi, hakuna muislam angeendelea kusumbua na kudai serikali iwafanyie kwa sababu suala liko clear.

Unafiki huu huu wa serikali umeifanya ishindwe kupambana na rushwa na mafisadi waliokithiri miongoni mwao. Wameshindwa kurudisha raslimali za taifa zinazokwibwa kila leo, wamebaki kuongea uwongo na kujikosha kana kwamba hawajui kinachotokea kitu ambacho ni picha halisi kwamba hiyo Mahakama ya kadhi itakapoanza kutelekeza sheria za dini hiyo dhidi ya raia wengine, serikali haitakuwa na la kufanya. Mfano mdogo, waislam waliomchinja Mchungaji Geita, na kuchoma makanisa sehemu mbali mbali za nchi serikali imewachukulia hatua gani?

Ni vizuri serikali ikawa na macho y akuona mbali na dhamira ya kulinda wananchi bila ubaguzi na kuchukua hatua sahihi badala ya bora liende kwa ndoto kwamba watadhibiti machafuko. Hakuna hilo.

Sasa hivi serikli ni omba omba. Deni la taifa linakua kila kukicha. Budget tegemezi na sasa inalazimika kulazimisha michango ya lazima kwa watanzania ili ifanye kazi zake. Kwamba hata kodi hazitoshi. Ni jambo l kushanganza kwamba seriakli hiyo hiyo iliyolemewa, inataka tena kuongeza wizara ya waislam itakayokuwa na gharama nyingi kama wizarra ya elimu, wizara ambayo haina mashiko kwa taifa ila ni kwa kundi la watu wachache na si kwa mahitaji yao yote.

Unafiki na hila za serikali ya ccm vinaliangamiza taifa.
 
wacha chuki wewe mambo ya kadhi tuachie wenyewe. pesa zetu zikiliwa na waislam ni shida. wakila mafisadi poa. wacha uboya
 
Bado siamini sana kama serikali ni wapuuzi na wajinga kiasi cha kuamua kuutengeneza mgogoro ambao hata hauhitaji IQ kubwa kutambua kuwa kuridhia mahakama ya kadhi ni kubariki mauaji na fujo baina ya waislamu na wakristu. Kama washauri wa usalama wa nchi (National Security) hawajaweza kumshauri Rais na jopo lake kuhusu mahakama ya kadhi, nadhani ni bora wakawapisha watu wengine wafanye kazi hiyo. Mahakama ya kadhi ni bomu kwa amani na usalama wa nchi. Ushauri wangu, tusiache siasa zikatuharibia amani tuliyodumu nayo kwa miaka 50.

unauzungumziaji ubalozi wa vatcan na MOU mkataba unaounufaisha taasisi za kikiristo.???
 
Hiyo itakuwa ni mipango ya Membe kutaka kuliingiza taifa kwenye sheria za Kidini anafanya kimya kimya lakini yeye yuko nyuma yao na Taarifa za ndani zunasema hata hilo kundi la waisilamu lililoweka kambi Dodoma kwa ajili ya kushinikiza mahakama ya kadhi limedhaminiwa na Bernald Membe amewasaidia kwa makubaliano ya nao kumsaida kwenye mbio zake za urais na pia amewahaidi pindi atakapokuwa rais atahakikisha Tanzania inajiunga na OIC kwa maendeleo ya waisilamu na watanzania wot.Hivyo watanzania tukae chonjo na urais wa Membe
 
unauzungumziaji ubalozi wa vatcan na MOU mkataba unaounufaisha taasisi za kikiristo.???

Mbona kama unaongea vitu usivyovijua?
  • Hivi Vatican ni nini? Hujiulizi kwa nini Vatican iwe na balozi, hujui kama vatican ni nchi sawa na Tanzania tu?
  • MOU ni memorundum of understandings. Hebu niambie hiyo MOU ya serikali na wakristu ipo kifungu cha ngapi cha katiba? Kama haipo, kwa nini na nyie waisalamu msiingie MOU na serikali ili nanyi mnufaike na hicho mnachoona wakristu wananufaika? Why mnaforce vitu vyenu viwekwe kwenye katiba ya nchi?
 
Jile79..mpumbavu niwewe usiejua kuwa wakristo wakiongozwa na marekani,israel ndio wanaofanya dunia isiwemahali salama pakuishi kutwa kuingilia nchi zawatu wanaua,watoto,wanawake,wagonjwa nawatu wasio na hatia!.

Ahsante kwa kuwa na akili nyingi kuzidi waislamu wenzako.....Boko haram=western education is forbidden.
 
Mbona kama unaongea vitu usivyovijua?
  • Hivi Vatican ni nini? Hujiulizi kwa nini Vatican iwe na balozi, hujui kama vatican ni nchi sawa na Tanzania tu?
  • MOU ni memorundum of understandings. Hebu niambie hiyo MOU ya serikali na wakristu ipo kifungu cha ngapi cha katiba? Kama haipo, kwa nini na nyie waisalamu msiingie MOU na serikali ili nanyi mnufaike na hicho mnachoona wakristu wananufaika? Why mnaforce vitu vyenu viwekwe kwenye katiba ya nchi?

Kwa hiyo Mwanya (Pengo) ana Uraia wa nchi mbili?
 
Watumishi, ndugu zetu Simbaulanga Team, wapo bungeni Dodoma, kushadadia mahakama ya kadhi. Wanatoa wito kanisa kuomba, m/kiti wa tume ya katiba yupo mbele ya kikwete kushinikizwa mswada urekebishwe ili ipitishwe, waislamu wamejaa Dodoma kusubili sherehe. (Tuombe, kwa bidii nyingi kama kanisa lilivyoomba alipokamatwa Petro) julisha kanisa liombe si mchezo, ni maafa.
Bwana ni Mwema
Bwana ni Mwema
 
Mmekosa Kuelelewa mambo wachangiaji wkristo mbona wanamkataba na serikali memorundum of understanding uliosainiwa na lowasa ambao serikali inajikoment kusaidia makanisa ,hosoital ,shule,vyuo kila mwaka wanatoa mabilioni ya pesa kuwzpa taasis hzo ,na hauelezi mwisho ndg zang kwa waisalamu kugalamiwa mahakama ya kadhi haifai,tuangakie hyooo
 
Mmekosa Kuelelewa mambo wachangiaji wkristo mbona wanamkataba na serikali memorundum of understanding uliosainiwa na lowasa ambao serikali inajikoment kusaidia makanisa ,hosoital ,shule,vyuo kila mwaka wanatoa mabilioni ya pesa kuwzpa taasis hzo ,na hauelezi mwisho ndg zang kwa waisalamu kugalamiwa mahakama ya kadhi haifai,tuangakie hyooo

Kama ni hivyo basi na waislamu wafungue mahakama zao halafu waombe mou yao! How about that? Can we have a deal? Japokuwa mou ya wakristo ni kwa masuala ya huduma za jamii bila kujali Dini, inawezekana mkifanya hivyo kutakuwa na unafuu, maana inashangaza upande Mmoja mnapinga bakwata halafu upande mwingine mnataka serikali hiyohiyo ilioanzisha bakwata iwaanzishie mahakama ya kadhi! Why double standards?!!!
 
Jamni naomba CV ya CAG mpya mumuwekee huyu jamaa, huyo ndiyo mkaguzi mkuu wa mahesabu ya Waislam na wasio Waislam, kumbuka hilo, sasa wewe nitafutie mmoja yeyote umjuwae ambae katika mambo haya ya uwekaji mahesabu Tanzania hii mwenye nusu ya CV ya huyu Muislaam.

Hebu tupe CV yake, tuanzie hapo
 
Uislamu ni tatizo sana duniani...hawa mabwana ni wasumbufu sana kiukweli....sasa kama mnataka mahakama ya kadhi si mtengeneze wenyewe na muweke kwenye katiba zenu za kiislamu...hawa jamaa kesho watataka na vyuoni mahakama ya kadhi iwekwe kwenye mitaala......nyie watu ni tatizo sana...

Mkuu tatizo hapa si uislamu na waislamu, tatizo hapa ni lidudu kubwa la kijani linaitwa CHAMA CHA MAPINDUZI! Hili dubwasha ndio linataka kutuchonganisha kwa maslahi yake, lengo lake kuu linataka kura za huruma za hao waislamu maslahi(Bakwata)! Uzuri ni kwamba waislamu wao kwa wao wanapingana, lakini upuuzi na ushenzi wote huu unaletwa na CCM! Kama wanaona hiyo kadhi ina umuhimu kwao ni kwanini basi wasiitekeleze huko huko misikitini na wayamalizie masuala yao huko!? Kwani ni lazima na sisi tusio waislamu tushiriki ibada zao za huko kibra!? Wametuteka kutulisha kitoweo kilichochinjwa na wao tumekubali kwa muda mrefu bila kuhoji, tena bado hawaridhiki wanakuja na hoja zao za kipuuzi!?
 
Hivi kwa mujibu wa ratiba ya bunge,ni lini marekebisho ya sheria hii yatajadiliwa lini,ni muhimu sana kujua hii kitu!!!!
 
Hili jambo serikali/bunge liwe makini. Ikiwa hiyo mahakama ya Kadhi haitapatikana basi Waislam wataikataa katiba maana waliahidiwa hivyo kwamba badala ya kuingizwa kwenye katiba itatungiwa sheria. Kwa hiyo ukiunganisha na UKAWA basi katiba pendekezwa Kushney.
 
Back
Top Bottom