Kilombero: Gaidi mwingine akamatwa tena, baada ya njaa kali huko Mlimani

Mtu mmoja anayesemekana kuwa ni gaidi amekamatwa tena hapa kilombero maeneo ya sumbugulu, mtu huyo ambaye anaonekana kutojua kiswahili,ila anaongea kiarabu.

Inasemekana alikuwa akiishi huko mlimani na aliamua kushuka baada ya njaa kuwa kali na kuanza kuomba chakula ktk eneo ilo la sumbugulu.

Hali ya Upelelezi Wa Kitaifa imeongezeka hapa Ruaha Kilombero Kufuatia Matukio Hayo.

Mpinzani wa uislam kazini
 
Kama ni gaidi vyombo vya usalama vinatakiwa kuwachukulia hatua hawa watu wanaocheza na amani ya nchi yetu.
 
Jaman Hao Watu Baada Ya Kugundulika ile mara ya kwanya wengi wao walitawanyika kukimbia kuskojulikana, na hawana mawasiliano, ndo maana wanahangaika maana kuna msako mkali sana
 
Acheni uzuzu hao ni wasomali wanatorokea S.Africa. Ngoja siku wakija magaidi kama hawa policcm wataweza kuwakamata kirahisi ivo.
 
Wananikumbusha wale wa Mtwara waliokutwa na kiroba cha unga, cd za Rambo na kijipanga! RPC akatangaza breaking newz.
Mpaka sasa hawajafikishwa Mahakamani!

Ally;
Ulikuwa mchezo wa kuigiza wa Chagonja ule ili jeshi lizidi kukubalika kutumika kutishia raia Mtwara. Mmakonde hawezi sahau yalotokea pale
 
Hii nchi hii,,,naona tuna hamu Sana Na hao wanaoitwa magaidi,,,mtu ht akikamatwa Na kaiba side mirror anaitwa terrorist
 
Wale wafadhili waliokuwa wanapeleka chakula na hela wameshachoka so jamaa akaona atakufa akajisalimisha, wapo wengi tu watajitokeza..!!
 
Magaidi wana watetezi wengi sana mitandaoni.Wanatetewa mitandaoni ili waendelee kujipanga.Kwa Tanzania watapata taabu sana maana Jeshi letu lipo tayari kuuangusha hata mlima Kilimanjaro ili kumchomoa Gaidi mmoja aliyekimbilia huko.

Wewe kaa kimya unaujua mlima Kilimanjaro au unaropoka tu??
 
Alafu kwa nini magaidi majina yao ni yaleyale ya akina ........ wale wenzetu alafu wakiambiwa ukweli wanakuwa wakali kama pilipili.
 
Hata mimi nimeshangaa, Gaidi anasikia njaa wakati Allah(S.W.A) huwa anawalisha wakiwa wanampigania

sio ALLAH(S.W.A) ni ALLAH(S.W),ila chonde kwenye dini usipaguse maana suala nyeti hilo.Kama hujui usikashifu dini ya watu.ISLAM IS DEEN OF ALLAH and not christianity of ST.PAUL
 
KTK nchi hii ukiwa na majina ya kiislamu huchelewi kuitwa gaidi na hiyo ni mbinu ya makafiri kuua uislamu na uislamu.Kwa dhati ya moyo I SUPPORT ALSHABAAB AND APPRECIATE WHAT THEY DID.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom