Majambazi wavamia NMB Mkuranga, Waua Polisi

Iko namna hii,walikua wamevizia gari la benki kuingia tu, wakampiga askari mmoja anaitwa fredi, yeye hakua lindoni alikua amekaa nje anasoma gazeti, walimpiga 2 za kifuani wakapora briefcase zenye faranga,wale askari waliokuwa zamu,kuona kimewaka.
Wakajificha chini ya uvungi wa gari.
Kilikua na mteja akawa anatoka kuangalia kunani nje wakamlamba ya mguu aache kiherehere.
Ntaendelea.
 
Aisee, natumaini Jeshi la Polisi litafanya kazi kwa weledi kwa kushirikiana na raia wema kuwatia nguvuni wahalifu. Pumzikeni pahala stahili askari wetu mliotangulia.

Jeshi lipo busy na wasaka nia ktk misafara yao ya kutafuta wanaowaita wadhamini.
 
Iko namna hii,walikua wamevizia gari la benki kuingia tu, wakampiga askari mmoja anaitwa fredi, yeye hakua lindoni alikua amekaa nje anasoma gazeti, walimpiga 2 za kifuani wakapora briefcase zenye faranga,wale askari waliokuwa zamu,kuona kimewaka.
Wakajificha chini ya uvungi wa gari.
Kilikua na mteja akawa anatoka kuangalia kunani nje wakamlamba ya mguu aache kiherehere.
Ntaendelea.

Walijuaje kama pesa inaletwa?,wafanyakazi wa hiyo benk wamechonga mchongo!,hii haina ubishi...afande amepona?
 
Mbona za escrow mlikuwa mnawatetea au kwa kuwa ziliibiwa kisomi?

Wasiosoma ni chakula cha wasomi
 
Iko namna hii,walikua wamevizia gari la benki kuingia tu, wakampiga askari mmoja anaitwa fredi, yeye hakua lindoni alikua amekaa nje anasoma gazeti, walimpiga 2 za kifuani wakapora briefcase zenye faranga,wale askari waliokuwa zamu,kuona kimewaka.
Wakajificha chini ya uvungi wa gari.
Kilikua na mteja akawa anatoka kuangalia kunani nje wakamlamba ya mguu aache kiherehere.
Ntaendelea.

Sasa hii ni dili la Ndani.
Mie najua Bank nyingi wanatumia gari zisizoingiza Risasi.
Na pia kunakuwa na Askari zaidi ya wawili wakati Pesa zinashushwa ndani ya gari

Hivi Mbona banks tu,hatujasikia hata Siku Moja BOT Bank kuu wao wakivamiwa na majambazi,ila hizi Bank zake ndio watu wanapiga hela.

Yaani Lazima mie niwe mkweli,yaani huwa nikija Dar naogopa sana kwenda Bank,nimemfungulia account mdogo wangu ndio anatoa pesa.hali inatisha sana hata kujongelea tu jengo la bank siku hizi ni hatari sana.Anaweza mtu kufanya tukio la ujambazi na mara nyingi jambazio hu shoot mtu yoyote anaemuhisi ni hatari.Na polisi wakija wanaweza kukuzoe hata kama sie ili wauze sura kwenye TV.
 
Katika mihangaiko yangu niliwahi kuwa napita hapo kuelekea sehemu moja yaitwa Mbezi au kule mwisho Kisiju Pwani, na sehemu hii kwa jinsi ilivyozungukwa na watu maskini ni lazima tu kutafanyika mipango ya ujambazi.

Majambazi ni haowaho wanaoishi au kufanya shughuli zao karibu na benki hiyo na walifahamu ni lini pesa zimeingizwa kutoka makao makuu.

Ila inside job is a must kwa TANZANIA ya leo.
 
maisha yamekuwa magumu sana,,,wazazi wanawaza,,,watapata vipi pesa wawanunulie zawadi maana sherehe ya IDD ndio hiyo ipo njiani,,,,natutasikia mengi sana,,,,
 
Mkuranga kila mara kinawaka. Kunani huko. Jeshi la polisi imarisheni ulinzi

Lipo tatizo katika hii wilaya ya Mkuranga inabidi iundwe task force kuyafagia mapori hata kwa helkopta, haiwezekani Mkuranga iwe paradiso ya mauaji ya polisi na uporaji.
 
Back
Top Bottom