Muswada wa kupiga marufuku kamari kupelekwa Bungeni

Betting ni kamari..! ebo!
sasa si wengine ndo office hadi tunajenga kwa ku bet...itakuweje au ndo tuwe wavunjaji...wakae wakijua mchezo waku bet umeanzishwa maksud kwa ajili ya kupunguza baadhi ya addiction mbaya kama madawa ya kulevya na wizi...
 
Duh! Check hii...
 

Attachments

  • 1430225507121.jpg
    1430225507121.jpg
    38.9 KB · Views: 216
Huo Muswada Hata Ukijadiliwa Na Ukapita Nikazi Bure!Wataweza Wezi Kufungia Kamari Zile Zinazochezwa Kwenye Macassino Na Hotel Za Kitalii?
 
Wanaacha kufuata mambo ya msingi wanaanza kuwaza ujinga,KAMA HAWANA HOJA YA MSINGI YA KWENDA KUONGELEA HUKO BASI WABAKI WAJIMBON MWAO WAKIENDELEA KUENEZA VYAMA VYAO.KUNA MAMBO MENG SN YA KUJADILI WHY WAJE KWENYE OFC YANGU B?
EWE MWENZEZ MUNGU MWINGI WA REHEMA KWA NGUVU ZAKO NAOMBA UWANYONG'ONYESHE NA WAPITIWE NA USINGIZI MNONO WABUNGE WOTE KTK KUANDAA AU KUCHANGIA MUSWADA HUO KM UTAPELEKWA KWELI.
SWAL KWAKO MLETA TETESI,SERIKALI HAIKUTAMBUA MADHARA YAKE KABLA YA KUTOA LESENI KWA MAKAMPUNI HAYO?WATZ WENZETU WALIOAJIRIWA KTK HAYO MAKAMPUNI WATAENDESHA VP MAISHA YAO?
 
huu usainiwe bila hata kwenda bungeni!unafanya watu kubweteka na kutaka vya bure...

sijawahi ona kamari ya bure hapo ni toa hela upate pesa......na elewa ili ufutwe kamari kwanza Bahati Nasibu ya taifa ifutwe ile ya akina Tarimba fikiria deep zaidi hata hiyo mikopo wa chuo ambayo serikali inatoa ni mifumo ya kamari tu maana wanakusomesha na hawana uhakika kama utawalipa....kamari hata wewe unacheza....haya maisha yenyewe ni kamari tu.....najua hata sms unatuma kwa milionea Jay ili akupe milioni mia...
 
Haya ndio mambo ya msingi ambayo Serikali inatakiwa kufanya haraka sana sio mitandao ya kijamii.
 
fununu zometola wapi .

so casino zitafungwa . ..hapa ndipo tunaelekea kuwapoteza na watalii .
 
ningefurahi kuona wanapeleka mswada wa kuanza kukata kodi mshahara wa msafiri na wenzake *****
 
Back
Top Bottom