Samwel Sitta aanikwa uovu wake

Mzee Sita naomba nikwambie tu wazi, kwa sasa hauna mvuto kabisa, wananchi wameshakugundua we ni mtu wa aina gani, (nikisema hapa nitaonekana sina nidhamu kwa wazee)....

Kuanzisha kwako CCJ ni uhaini na usaliti mkubwa kwa chama cha mapinduzi.... Leo hii uneona haitoshi umemtuma kijana wako Ramadhani Semtawa aanzishe chama kingine, kweli unatapa tapa mzee wangu, naomba unisikilize tena, ushapoteza mvuto kwa jamii....

Kwenye swala la katika uliingia mkenge bila kujua unaingia mkenge, ulishindwa kufanya what we call political projection, naomba nikwambie hatutaki wanasiasa wasio na uwezo wa kufanya political projection...... Kwa katiba hiyo hiyo leo hii ukienda Arusha au Mara walai unapigwa mawe, wananchi hawakutaki, na wanakuona kama msaliti, mtu wa visasi, wa kupenda sifa na mtu wa maslahi binafsi....

Mzee wangu Sita, yale majumba yako Tabata, Kinondoni na Knyama uliyajenga kwa mawe? leo umenipa maajabu mengine ya dunia kwamba mawe yanaweza kujenga nyumba, nyumba zaidi ya 3 ni za nini kama huo nao siyo ufisadi?, au ndiyo muongozo mpya wa azimio la Arusha.

Mzee wangu Sita, unapogawa laki moja moja kwa wajumbe wa mkutano mkuu, (hata mimi mke wangu amepata huo mgao) umezitoa wapi hizo fedha, au wewe laki moja moja zako ni fedha feki? Au ni makaratasi tu

Mzee wangu, ukiona sisi vijana wadogo tunakushauri usikasirike bali chukua ushauri wetu. Kwa sasa hauna mvuto mzee, usipoteze muda wako kuwaza urais mzee wangu....

Huyu alishapauka kuanzia Bunge maalum la Katiba.
 
unajiiya suzan lema,kwenye Uzi unasema Mke wako kapata mgao wa laki,!!!
wewe ni dume joke au?
nazani utoto unakusumbua,au umeparamia siasa za mtandao kichwa kichwa,omba mungu Rais as I saini yako ka mwada ,utafia jela ndugu
 
Unaaakili unaoa mwanamke CCM? anagawiwa fedha za rushwa harafu unachekelea tu, 6 ni noma. TOA MKEO CCM kabla Mwiguluuu hajakutana naye uso kwa uso, mwili kwa mwili, sera kwa sera au hunajitoa fahamu ili maisha yaende kwa laki laki hizo???
 
Hii imekaa kimajungu zaidi.hapa tunakwenda kwa facts.kwenye katiba umepatia ila huko kwenye Nyumba mawe sijui naona hujamtendea haki ndugu.au na wewe ni mwathirika wa ile timuatimua aliyoifanya Mr. Six hivi majuzi?
Ingine ipo Mbweni ina bonge la garden nje,ukipita lazimautauliza tu hii nyumba ya nani?
 
Bado na wapambe wake hasa Anko wa kulambwa!!!!!!! Anasumbua sana wananchi wa kisa mpambe sita?!!"""
 
Unaaakili unaoa mwanamke CCM? anagawiwa fedha za rushwa harafu unachekelea tu, 6 ni noma. TOA MKEO CCM kabla Mwiguluuu hajakutana naye uso kwa uso, mwili kwa mwili, sera kwa sera au hunajitoa fahamu ili maisha yaende kwa laki laki hizo???
Hahaaaaaaaaaaaa
 
Mzee Sita naomba nikwambie tu wazi, kwa sasa hauna mvuto kabisa, wananchi wameshakugundua we ni mtu wa aina gani, (nikisema hapa nitaonekana sina nidhamu kwa wazee)....

Kuanzisha kwako CCJ ni uhaini na usaliti mkubwa kwa chama cha mapinduzi.... Leo hii uneona haitoshi umemtuma kijana wako Ramadhani Semtawa aanzishe chama kingine, kweli unatapa tapa mzee wangu, naomba unisikilize tena, ushapoteza mvuto kwa jamii....

Kwenye swala la katika uliingia mkenge bila kujua unaingia mkenge, ulishindwa kufanya what we call political projection, naomba nikwambie hatutaki wanasiasa wasio na uwezo wa kufanya political projection...... Kwa katiba hiyo hiyo leo hii ukienda Arusha au Mara walai unapigwa mawe, wananchi hawakutaki, na wanakuona kama msaliti, mtu wa visasi, wa kupenda sifa na mtu wa maslahi binafsi....

Mzee wangu Sita, yale majumba yako Tabata, Kinondoni na Knyama uliyajenga kwa mawe? leo umenipa maajabu mengine ya dunia kwamba mawe yanaweza kujenga nyumba, nyumba zaidi ya 3 ni za nini kama huo nao siyo ufisadi?, au ndiyo muongozo mpya wa azimio la Arusha.

Mzee wangu Sita, unapogawa laki moja moja kwa wajumbe wa mkutano mkuu, (hata mimi mke wangu amepata huo mgao) umezitoa wapi hizo fedha, au wewe laki moja moja zako ni fedha feki? Au ni makaratasi tu

Mzee wangu, ukiona sisi vijana wadogo tunakushauri usikasirike bali chukua ushauri wetu. Kwa sasa hauna mvuto mzee, usipoteze muda wako kuwaza urais mzee wangu....

Mkeo kuchukua Manaake wewe Na Mkeo wala rushwa pia maana mtoaji na mpokeaji wote wakosaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom