CHADEMA kukabidhi Mkanda (CD) ya mauaji ya wanachama wake Soweto

Baada ya kuwajua tuna wafungulia mashtaka ya mauaji na wakisha kuthibitika kuwa walihusika basi wanahukumiwa kama sheria zetu za nchi zinavyoelekeza.
Teh teh teh Mkuu Mkandara nipo huku nawasoma vijana wa Nguruvi.
 
Last edited by a moderator:
sasa ndo mtajua kama ni CDM walirusha au ni CCM, mbona mnashupaa. Viva CDM
 
kuna sheria ya kuhusu watu wanaoficha ushahidi wa uhalifu makusudi,hiyo sheria itumike kuwaweka lokapu hao watakaopeleka huo mkanda,waulizwe kwanini wameficha ushahidi wa mauaji kwa miezi yote hiyo,mpaka wahalifu waweza kuwa wametokomea?.

ndo maana mi husema hawa jamaa ni wahuni,
Je hao maofisa usalama na police walifanya juhudi gani saaana ya kuhakikisha wahusika wote wanakamatwa na kupelekwa mahakamani au cdm walivyosema wanamkanda basi nao wakaishia hapo hapo bila kufanya kazi yao wanayolipwa mshahara otherwise tuwape CDM kazi ya kuipatia serikali police na wanausalama bora zaidi.
 
Nawashauri mkaikabidhi ujeruman alikokuwa kikongwe wenu
Ila atambue inshu ya ushoga hapa tz ilishapigwa chini so asipokee misaada kwa kuwadanganya kuwa atairudisha hapa bongo...imekula upande wake hiyo...unatafuta misaada ili kuuza nchi?? Halafu eti naye anataka urais wakati hata familia yake imemshinda!!!kaishia kusingizia watu walinz wake eti wanataka kumuua?? Shame on babuuu

WEWE HUNA TOFAUTI NA:peep::puke::puke:
 
Hapo ndo mwisho wa IQ yako na ndo maana hata kazi umekosa mda mrefu na hiyo GPA 2.5 yako
Mwishowe unajifariji kuchukua nchi.... so unahis utapata kick hapo anza na moja ili upate tatu
 
Baada ya Serikali ya CCM kukataa kuunda tume ya Kijaji ili wakabidhiwe CD ya mauaji Soweto, Sasa CHADEMA wameamua kuwa wataikabidhi serikali CD hiyo muda wowote kuanzia leo.

Ikumbukwe kuwa CHADEMA wakiwa wanahitimisha kampeni za uchaguzi wa Madiwani mjini Arusha, Watu wanaosadikiwa kuwa ni maafisa usalama wanashukiwa kuwa walirusha Bomu kwenye mkutano huo na kusababisha mauaji.

Sasa baada ya cdm kuomba Serikali kuunda tume huru ya kijaji Serikali ilikataa kufanya hivyo ikihofia kuumbuka kwa tukio lile.

Tutarajie nini baada ya CD hiyo kutolewa?.

Hii Cd tunaisubiri kwa hamu sana. Mafisiemu lazima kitakula kwao.
 
Back
Top Bottom