Onyo kali kwa kamati kuu CCM chama changu, Baraza la wazee na Rais Kikwete

Unaona sasa,udhaifu wa CCM ndio unaoifanya CCM kupigwa mkwara hata na vimburu ambao hawajulikani hata wanakotokea.
 
Ududu

Kama mtakumbuka hapa jf niliweka uzi unaosema "Ushauri wa bure kwa wagombea uraisi"
wa jamhuli ya muungano wa Tanzania.
kwenye uchaguzi wa October2015.
nikaomba wakabizi hati zao za kusafiria,ili
kama ikitokea jahazi limetoboka tugawane mbao pamoja.
ni wazolangu nikaomba wachukue wakipenda.

Lakini ule uzi haukuchangiwa na mtu yoyote lakini siku sionyingi wataelewa .
 
Last edited by a moderator:
Ukumbi ndio unachomwa moto siku hiyo, walidhani wame win kummaliza mzee wa msituni mapema kumbe ndio kuna wazalendo hatari kweli.


mzee wa CCM hahahahahah chama cha mapinduzi CCM number one.................................ameondolewa wakafikiri walimaliza safari ndio imeanza wiki hizi mbili tutaona mambo mengi sana
 
Kukata majina ni LAZIMA haiepukiki na ni kwa mjibu wa KATIBA ya CCM.

Majina yanayotakiwa ni MATANO tu, hivyo Kamati kuu haiwezi kupeleka majina yote 40.

Kama wewe hutaki jina la LOWASSA likatwe, vivyo hivyo wengine nao hawataki majina yao yakatwe!

Mimi nashauri watia nia wote wajiandae kisaikolojia, kwa lolote lile litakalotokea. Kwani mwisho wa mchakato huo ni JINA MOJA tu ndiyo linatakiwa.

Hatukatai majina kukatwa,tatizo hawana sababu hata moja ya kukata jina la Lowassa
 
Mnahangaika na Lowassa mtu ambaye hana hata hoja,mtu ambaye wakikutanishwa na Wassira lazima Lowassa afe mbele ya hoja nzito zinazotolewa na Wassira
 
Ududu

wote waliotangaza nia hakuna ambaye ameweza kueleza namna ambavyo anaweza kututoa apa tulipo isipokuwa JANUARY MAKAMBA pekee ndoameweza kuuhutubia umma wa watanzania pekeee.Naamin NEC watatimiza wajibu wao ikiwa watamuona anafaa basi atapita lakin tuwe wazalendo na kuacha ushabiki kwenye swala la kitaifa kama hili Lowassa hafai hata kidogo
 
Last edited by a moderator:
Hakuna...Hakuna..nasema hakuna kukata jina la Lowassa hapo Dodoma. Mkilikata tutapigana hapo Dodoma mchana kweupeee.Tutagawana fito na kama chama ndio kifie hapo..

Mwaka 1995 tulimuheshimu tu mzee aliposema muda bado lakini sasa hatumsikilizi mtu tena.Mleteni wana NEC wenyewe tuamue.

Nchi imeyumba na imekwama,wa kuitoa hapa ni Lowassa pekee hakuna mwingine.Naomba munielewe na hakuna namna nyingine.

Tukutane Dodoma kwa mapambano ikiwezekana...

Mpitisheni jina lake katika nchi yenu ya kusadikika iliyojaa ufisadi, wevi na wanyang'anyi. Urais unatafutwa kwa rushwa na ubabe na kutosililizana huo utakuwa wenu majizi ya nchi hii na mafisadi ila kwa nchi yetu hii TANZANIA nafasi ya wenye ubabe na wadudu kichwani hawawezi kupewa dhamana ya kushika madaraka ya juu ya urais.
 
wote waliotangaza nia hakuna ambaye ameweza kueleza namna ambavyo anaweza kututoa apa tulipo isipokuwa JANUARY MAKAMBA pekee ndoameweza kuuhutubia umma wa watanzania pekeee.Naamin NEC watatimiza wajibu wao ikiwa watamuona anafaa basi atapita lakin tuwe wazalendo na kuacha ushabiki kwenye swala la kitaifa kama hili Lowassa hafai hata kidogo

Mkuu acha masihara basi!!!Makamba awe Rais wa nchi hii kweli?
 
Kama unampenda sana mwende naye mkanywe chai huko. Kwenye suala la nchi ni kiongozi bora, safi na muadilifu ndiyo atapitishwa. You can take that to the bank!

Hakuna mwenye jeuri juu ya edo.fitna ya jk na familia yake mwisho kwa edo,
 
Unaona sasa,udhaifu wa CCM ndio unaoifanya CCM kupigwa mkwara hata na vimburu ambao hawajulikani hata wanakotokea.

Hah hah hah hahaaa
Hiyo nd'o ccm ya kisasa kila mtu na kila fisadi anakuwa msemaji mkuu wa ccm.Mwelekeo sasa wa chama ninauona uleeee unapotea.
 
ushashiba mihogo ya kuhongwa na lowasa unakuja kutapika humu...nonsense
 
Back
Top Bottom