5523
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,699
- 1,592
Mambo ya Kidini hayana Hadhi ya kujadiliwa Bungeni.Mambo ya Kidini hujadiliwa na Dini husika kwenye Nyumba zao za Ibada.Mungu sio dhaifu kiasi hicho labda kama ni Mungu wa Maigizo.
Kama Bunge halina hadhi kwa mambo ya kidi kwanini kila mbunge kabla ya kuanza shughuli za bunge aliapa mule bungeni kwa dini yake na ile si sehemu ya kidini hawakwenda kuapa msikitini au kanisani?