Mahakama ya Kadhi ni nini?

Hivi watakuwa na Jeshi lao la kutekeleza hukumu??
Watajenga majengo ya hizo mahakama katika kila kata???
 
Ww unaogopa nn mbona hujiamini kama dini yako ni yakweli moyo unakuuma nn waislam kuwa na mahakama ya kadhi

sikatai msiwe nazo,ila zisiusishwe na serikali.serikali haina dini.leo hii wahindu watadai mahakama zao,kesho wakristu,keshokutwa wachawi nao watadai mahakama zao ziingie kwenye katiba.kitu ambacho sielewi ni kwanini mnataka mahakama zenu ziingie kwenye katiba?what is so special?
 
Mkuu nimesema kila muislam akatwe kiasi fulani cha fedha kwenye mshahara wake kwa ajili ya kuendesha mahakama ya Kadhi, kosa langu nini? Ama hukuelewa

Kukata mshahara wa mwislamu ni sawa na kumkata Simba Mkia. Hawa Jamaa ni wabaili sana na ndio maana mpaka wajengewe Msikiti na Waarabu. Wenyewe hawawezi kujenga.
 
Jamii ya Waislamu kudai mahakama ya kadhi inadhihirisha kuwa ni jamii ambayo.
1. Ina migogoro mingi na kutoelewana miongoni mwao. Kwa sababu mambo ya mungu ni mambo ya imani. Siyo mambo ya kibiashara au kidunia hadi mfikishane mahakamani
2.haiwezi kujisimamia mambo yake. Hivi kama kitabu kitakatifu kimeshaweka namna ya mgawanyo wa mali za marehemu mnashindwa kuzigawa hadi mahakamani?

Msitubabaishe hapa
 
ile kesi yako ya kubaka mwanafunzi ndani ya madrassa imeishia wapi kumbe siku hizi huko madrassa mmefanya ni gesti za kubaka watoto wadogo inasikitisha sana .

Replied:wale wanaolawiti watoto kule vatcan ni waislam?
 
Replied:kama hujui jambo usijitie kujua utakujazomewa nani kakwambia course ya islamic law with shariah ni opt ya sheria za dini pekee?usizungumze jamboo ilimradi nawewe uonekane..zombi wee!

Aliyeandika suala la sheria za dini pekee ni nani?

Ficha upumbavu wako.
 
Na mimi nataka mahakama ya jadi maana ni bora zaidi kuliko hizo za kuletewa na wazungu na waarabu wakati wa utumwa maana sheria zake hazina msaada kwa wazawa zaidi ya kuwalinda ulio madarakani
 
nemasisi nawe ujinga wako ni kuwa hujui kwamba hili si la kwanza kwa serikali kuhusishwa linalohusiana na muktadha wa kidini. Rejea MoU ya Lowassa
 
Dililalawatu hilo kunajamaa awana kazi wameenda kushinda getini Dodoma wakijua ikiita awakosiii uzeee was barazaaaa
 
Kadhi kadhia hii upuuzi mtupu kila kitu mnataka mfanyiwe na serikali hata maamuzi ya dini yenu kweli kosa mali uwe na akili
 
Huyu anahitaji kuelimishwa tu, baada ya kupewa Elimu akataye.
Tatizo ni kubebe Bibilia pasipo kuisoma, Mchungaji asome wewe uridhiye tu basi.
Atenge muda wa kusoma aya kwa aya na ukurasa kwa ukurasa utajua ila iatabakia shida moja tu kuelewa yakini.
Nani kakwambia mtoa mada ni mkristo?
mawazo mgando bwana...
 
Hiyo ya blogger mbona haichangiwi? Watz wengi wanaojihusisha humu jf wana elimu ya kiwango cha chini. Na ndiyo maana naona michango kwa mada hii inapindapinda
 
Hivi ni kwa nini CCM wamekuwa wakichanganya dini na siasa kwa muda mrefu huku wakitumia udhaifu wa waislamu kubaki madarakani wakati wakiwadanganya kuhusu mahakama hiyo?

Hawa watu ni kwa nini sasa wanakataza wengine wasichanganye dini na siasa.

Kwa nini viongozi wa CCM wanaingia makanisani na misikitini wakisema mambo yasiyo ya dini badala yake kutafuta huruma na kiki za kijinga kwenye madhabahu ya MUNGU?

CCM waache uchochezi kwenye taifa lililojengwa kwa nguvu kubwa na watu weledi sio hawa wa kukurupuka na kuharibu uchumi wa nchi.
 
Back
Top Bottom