Search results

  1. Imaniyanguitaniponyatu

    Unga wa mahindi Kenya kilo moja ni 4100 shilingi za Kitanzania

    Bei ya mahindi nchini Tanzania inaogofya sana hadi kufikia 100000-130000 kwa gunia la kilo 100 kwa baadhi ya mikoa ya nchi hii. Kupanda kwa bei ya mahindi imepelekea wananchi wa kawaida kununua unga wa kupikia ugali kati ya 1400-2000 kwa kilo moja, hali ya upatikanaji wa chakula hicho inazidi...
  2. Imaniyanguitaniponyatu

    Morrison ni chambo inayotumika kuwatoa yanga kwenye reli ya ubingwa utopolo mjiangalie

    Asalaam Tofauti ya kuondoka Morrison Simba na wachezaji wote wanaotoka hivi vilabu vikubwa huwa kuna mvutano sana. Leo BM3 anaondoka Simba kila mchezaji anafurahi hadi wanamtakia heri imefikia hadi CEO Barbara kumuaga vizuri Morrison wakati wanajua fika ataenda kwa mpinzani wao. Manara...
  3. Imaniyanguitaniponyatu

    Natafuta kazi Dodoma

    Habarini wakuu, Mimj kijana wa kiume, muhitimu wa chuo kikuu mwaka huu mkazi wa Dodoma mjini. Natafuta kazi yoyote mjini Dodoma itayoweza nipatia mahitaji yangu ya msingi iwe ya taaluma au ya nguvu. Nimeshindwa kutafuta internship maana sina mtu yoyote nnaemjua aneweza nisaidia nipate hata...
  4. Imaniyanguitaniponyatu

    Anayetafuta nyumba au chumba cha kupanga Dodoma

    Kwa mgeni au mwenyeji wa Dodoma mjini, mwenye uhitaji wa chumba au nyumba ya kupanga ani PM kwa mawasiliano zaidi
Back
Top Bottom