Search results

  1. Shomary47

    Ninunue Router ya 270,000 ambayo kila mwezi takua nalipa 70,000 ama Router ya 110,000 ambayo takua nalipa 110,000 kila mwezi?

    Habari wakuu, nina kiofisi changu, nataka kununua Router unlimited ya Airtel, ambapo wana categories, wanaanzia bando ya 70,000 kwa mwezi ambayo ni Unlimited na Speed yake ni 10Mbps. Ama nilipie ya 110,000 ambayo kila mwezi takua nalipia iyo 110k na Speed ni 20Mps. Naomba Ushauri, ili...
  2. Shomary47

    Naomba anayejua chimbo la Tv za kichina Kariakoo anielekeze

    Habari wadau! Naomba kqa yoyote anaefahamu Chimbo wanapouza Tv Flat Screen kwa bei ya Jumla. Nazungumzia Brand za bei ya mtanzania kama Aborder, Sundar, Star X na Alitop. Ahsante
  3. Shomary47

    Naomba kupata Experience kidogo kwa wale waliowahi kufanya matangazo either ya redio ama mtandaoni?

    Habari wafanyabishara, Naomba kupata Experience kidogo kwa wale waliowahi kufanya matangazo either ya redio ama mtandaoni. Kipi Bora na kinaleta matokeo ya haraka, Kutangaza Biashara mtandaoni kwa kulipia ama Kutumia Local radio kutangaza biashara yako. Chukua mfano una bajet ya Laki tano...
  4. Shomary47

    Mtandao unasumbua nikiingia ofisini, nifanyaje?

    Habari wanajamvi, Mimi niko mkoa X, ni mjasiriamali na kazi zangu zinategemea sana Mtandao. Sasa hivi karibuni nimehamia Kwenye Ofisi mpya. Hapa nilipohamia nikiingia tu Ofisini mtandao unasoma "EGDE (E)" Nikitoka Nje unasoma "LTE" Naomba Msaada Jinsi gani naweza kufanya isome LTE. Natumia...
  5. Shomary47

    Hawa polisi wa cyber wakoje?

    Hii imekaaje wadau! Jana nimekamatwa na Polisi, Wakidai kuna mzee ameibiwa Simu aina ya Samsung S10 mnamo tarehe 17-Dec-2022. Yule mzee kapeleka IMEI yake polisi pale wameangalia wameona namba ya kwanza kutumia ile simu ilikua ni line yangu mimi. Ni kitu kisicho cha Kweli maana mimi sijawahi...
  6. Shomary47

    Nini maana ya mtaji?

    Habari WanaJamvi, Kuna ishu moja inanitatiza nataka kuuliza. Hivi kwenye biashara tukisema "MTAJI" tunaamisha nini? Ni hela ile inayozunguka tu katika biashara kwa mfano umenunua Mzigo wa laki tano ukawa unazungusha? Ama mtaji ni jumla ya vitu vyote vilivyomo kwenye biashara? Na Vipi kuhusu...
  7. Shomary47

    Nawezaje kuongeza redio kwenye Kisimbuzi cha Startimes?

    Habari wataalamu, Naomba kuuliza nawezaje kuongeza Redio kwenye Kingamuzi changu cha star times. Kwa ambazo ni Tbc Fm na Tbc taifa, nataka niongeze Clouds Fm, wasafi fm, n.k Inawezekana?
  8. Shomary47

    Waliojiunga (waliofanya maombi) ya huduma ya "Tigo Business"

    Habari zenu wanajamvi, hivi karibuni nilifanikiwa Kujaza Fomu za kujiunga na huduma ya "Tigo Business" Leo wiki moja imepita bado sijaungwa, kila nikimuuliza wakala alieniunga anasema kuna tatizo la kimtandao na wanashughulikia, Naomba kuuliza kuna aliyefanya maombi Kujiunga hizi karibuni...
  9. Shomary47

    Kutoza ada ya group kwa kila mwanachama

    Habari wakulungwa, Naomba maoni yenu, Nina Group la Facebook lina members zaidi ya elf 10 sasa. Mule watu wanapost biashara , wanaotafuta kazi, wanaotafuta wafanyakazi, Wanaouza vitu vya ndani, wanaotafta wachumba n.k.. Sasa nataka kuanzisha Mfumo wa kila mwanachama kulipia Ada ya kila Mwezi...
  10. Shomary47

    Nifanye nini kudhibiti Pesa?

    Habari wana JF, Naomba Ushauri, Mimi ni Muhanga wa Kutokukaa na Pesa, ama nikipata pesa zinaisha bila kufanya kitu cha maana au kitu cha kuonekana. Nimejitahidi saana Kuweka bajeti ya Mwezi nakuifata lakini nashindwa, najitahidi kuweka kumbukumbu ya matumizi yote ya siku ila nafanya kwa siku 2...
  11. Shomary47

    Ushauri: Nifanye nini niweze kuthibiti pesa?

    Habari wana JF Naomba Ushauri, Mimi ni Muhanga wa Kutokukaa na Pesa,ama nikipata pesa zinaisha bila kufanya kitu cha maana au kitu cha kuonekana. Nimejitahidi saana Kuweka bajeti ya Mwezi nakuifata lakini nashindwa, najitahidi kuweka kumbukumbu ya matumizi yote ya siku ila nafanya kwa siku 2...
  12. Shomary47

    Computer4Sale Nauza Laptop Toshiba

    Toshiba satellite Ram 5Gb Hdd 160 Battery Robo saa Screen inch 15.6 BEI: 230,000 Tupo Mwanza na Kahama Wateja wa mikoa ya jirani tunatuma Whatsapp: 0714453664
  13. Shomary47

    Computer4Sale Nauza Laptop used bei nafuu sana

    Nauza Laptop za Mtumba Bei Nzuri Bei zinaanzia 375,000/= Tunapatkana Kahama na Mwanza Wateja wa Mikoa ya Jiran tunakutumia kwa uaminifu mkubwa. Nichek wasap kwa picha zaidi 0627953664
  14. Shomary47

    Biashara ya kununua na kuuza vitu used

    Leo naomba kupata maoni Juu ya biashara ya kununua na kuuza Vitu Used vya majumbani mfano Furnitures, Vyombo, TV, Vingamuzi, Fridges, vitanda, magodoro n.k... Kuna watu ambao wanahama mikoa, wanahamishwa kikazi na wale ambao Wanauza Vitu vyao Kwakua wanashida na pesa ya haraka. Watu hawa...
  15. Shomary47

    Mchanganuo wa biashara ya kuingiza faida ya 150,000/= kwa siku/ 4,400,000 kwa mwezi

    Nawasalimu kwa jina la muungano wa Jamhuri ya Tanzania, Nimekua nikifatilia threads mbalimbali za biashara humu, Wengi naona wanasema ili kuingiza faida kubwa Kwa siku basi ni lazima Uwe na Mtaji Mkubwa, wengine walitoa mifano ya Anaemiliki duka la hardware ana mtaji nkubwa lakini hafikishi...
Back
Top Bottom