Mtandao unasumbua nikiingia ofisini, nifanyaje?

Shomary47

JF-Expert Member
Feb 12, 2021
224
348
Habari wanajamvi, Mimi niko mkoa X, ni mjasiriamali na kazi zangu zinategemea sana Mtandao. Sasa hivi karibuni nimehamia Kwenye Ofisi mpya.

Hapa nilipohamia nikiingia tu Ofisini mtandao unasoma "EGDE (E)" Nikitoka Nje unasoma "LTE"
Naomba Msaada Jinsi gani naweza kufanya isome LTE.

Natumia Mtandao wa TIGO

Screenshot_20230531-185129_1.jpg
 
Back
Top Bottom