Shomary47
JF-Expert Member
- Feb 12, 2021
- 224
- 348
Habari WanaJamvi, Kuna ishu moja inanitatiza nataka kuuliza.
Hivi kwenye biashara tukisema "MTAJI" tunaamisha nini?
Ni hela ile inayozunguka tu katika biashara kwa mfano umenunua Mzigo wa laki tano ukawa unazungusha?
Ama mtaji ni jumla ya vitu vyote vilivyomo kwenye biashara? Na Vipi kuhusu kodi ya pango, kodi ya Serikali n.k vyenyewe havimo kwenye mtaji?