Naomba anayejua chimbo la Tv za kichina Kariakoo anielekeze

Shomary47

JF-Expert Member
Feb 12, 2021
224
348
Habari wadau!

Naomba kqa yoyote anaefahamu Chimbo wanapouza Tv Flat Screen kwa bei ya Jumla.

Nazungumzia Brand za bei ya mtanzania kama Aborder, Sundar, Star X na Alitop.

Ahsante
 
Habari wadau!

Naomba kqa yoyote anaefahamu Chimbo wanapouza Tv Flat Screen kwa bei ya Jumla.

Nazungumzia Brand za bei ya mtanzania kama Aborder, Sundar, Star X na Alitop.

Ahsant
Kuna duka linaitwa ashariki lipo Ndanda na Masasi wanauza 245 nchi 32
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom