Ninunue Router ya 270,000 ambayo kila mwezi takua nalipa 70,000 ama Router ya 110,000 ambayo takua nalipa 110,000 kila mwezi?

Shomary47

JF-Expert Member
Feb 12, 2021
224
348
Habari wakuu, nina kiofisi changu, nataka kununua Router unlimited ya Airtel, ambapo wana categories, wanaanzia bando ya 70,000 kwa mwezi ambayo ni Unlimited na Speed yake ni 10Mbps.

Ama nilipie ya 110,000 ambayo kila mwezi takua nalipia iyo 110k na Speed ni 20Mps.

Naomba Ushauri, ili kupunguza garama ni heri nijichange nichukue ya 10Mps ambayo kila mwezi takua nalipia 70,000 ama nichukue ya 110,000 ambayo kila mwezi takua nalipia 110,000.
 
Angalia unachotaka kati ya speed kubwa ama unafuu wa bei

Kama biashara yako inalipa 500k faida kwa mwezi chukua kitu cha 110k

Speed muhimu
 
Nimebahatika kuwa na rafiki zangu wawili ambao wote wanatumia Router ya Airtel na mwengine ya Voda

Kwenye bei wote wanallipia ya 110k hivyo kwenye ya 70k sina idea kidogo ila zote zina spidi vyema tu, hivyo kama aina ya kazi unayofanya haihitaji spidi sana na pia hauunganishi vifaa vingi basi hata hiyo ya 70k itakufaa

Ila tukienda kwenye ufanisi, ya voda iko vizuri zaidi kwani inatunza chaji na unaweza enda nayo popote ile ya airtel (anayo ya 5G hizi mpya yenyewe ni mpaka iwe kwenye umeme ukitoa tu kushney)

Pia kuna mtu kalalamika ile ya Airtel 5G ukienda nayo nje ya Dar wanakufungia/unafungiwa (hili lalamiko nimeliona twitter sina hakika fanya follow up zaidi)

Kwa navyoona ya voda ni nzuri kama pia una mizunguko mbalimbali na unahitaji kutumia internet yako na Airtel ni kama upo sehemu moja ni nafuu zaidi
 
Habari wakuu, nina kiofisi changu, nataka kununua Router unlimited ya Airtel, ambapo wana categories, wanaanzia bando ya 70,000 kwa mwezi ambayo ni Unlimited na Speed yake ni 10Mbps.

Ama nilipie ya 110,000 ambayo kila mwezi takua nalipia iyo 110k na Speed ni 20Mps.

Naomba Ushauri, ili kupunguza garama ni heri nijichange nichukue ya 10Mps ambayo kila mwezi takua nalipia 70,000 ama nichukue ya 110,000 ambayo kila mwezi takua nalipia 110,000.
Mkuu achana na hizo router. Jamaa wa TTCL wanasambaza fiber ambayo unafanyiwa free installation and router bure huku ukipata unlimited bundle kuanzia TZS 55,000 kwa mwezi. Nimeweka ofisini kwangu na inaunganisha 30 devices. Nakupa namba ya Injinia wa TTCL Inbox mkuu
 
Unaweza kunisaidia mawasiliano yao mkuu??
 
Habari wakuu, nina kiofisi changu, nataka kununua Router unlimited ya Airtel, ambapo wana categories, wanaanzia bando ya 70,000 kwa mwezi ambayo ni Unlimited na Speed yake ni 10Mbps.

Ama nilipie ya 110,000 ambayo kila mwezi takua nalipia iyo 110k na Speed ni 20Mps.

Naomba Ushauri, ili kupunguza garama ni heri nijichange nichukue ya 10Mps ambayo kila mwezi takua nalipia 70,000 ama nichukue ya 110,000 ambayo kila mwezi takua nalipia 110,000.

Swala hapo ni speed hivyo inategenmea na kazi unazofanya
Kama ni kazi za kawaida za ofisi za kutuma email na una computer moja au mbili hiyo ya 70k inatosha
Ila kama ni kazi zinazohusisha ku download mafail mara kwa mara nenda kwa 110k
 
Mkuu, kwa nnavojua ya 110,000/= inawekwa fixed. Yaani unainstall nje (kama dish la DStv) ila yenyewe ndogo, nadhani brand ya Nokia.

images (2).jpeg

Iko kilichoandikwa Nokia kinakaa nje wakati Linksys inakaa ndani na zinaonganishwa na nyaya.

So ni cheap lakini umeme ukikatika haifanyi kazi, na hauwezi jioni kwenda nayo home.

Ila advantage ya router ya 210,000/= unaweza beba na ina powerbank kwahiyo ata umeme ukikatika inaendelea kufanya kazi.
images (6).jpeg

Haiitaji any kind of installation, unaweza enda nayo kazini, home, Mwendokasi au beach.

Me nadhani ungeichukua hii portable ya 210,000/=
 
Mkuu, kwa nnavojua ya 110,000/= inawekwa fixed. Yaani unainstall nje (kama dish la DStv) ila yenyewe ndogo, nadhani brand ya Nokia.

View attachment 2946558
Iko kilichoandikwa Nokia kinakaa nje wakati Linksys inakaa ndani na zinaonganishwa na nyaya.

So ni cheap lakini umeme ukikatika haifanyi kazi, na hauwezi jioni kwenda nayo home.

Ila advantage ya router ya 210,000/= unaweza beba na ina powerbank kwahiyo ata umeme ukikatika inaendelea kufanya kazi.
View attachment 2946560
Haiitaji any kind of installation, unaweza enda nayo kazini, home, Mwendokasi au beach.

Me nadhani ungeichukua hii portable ya 210,000/=
Hii ya 210,000 ndio ambayo monthly utakua unalipia 70,000 na unapata speed ya 10mbps. Vipi kwenye ufanisi wake wa spidi haisumbui, kwenye kazi za kawaida kuingia online whatsapp na kudownload files ndogondogo
 
Mkuu speed ya 10 mb/sec, kali sana.
 
Voda tuankupa router bure ila unadeposit 2 times ya bundle unayotaka hii pesa inakua kama dhamana itarudishwa kwako baada ya miezi 24 au mteja anapo terminate mkataba wa kuendelea na huduma.

Airtel unanunua router ila sim card yako tunaiunga na huduma ya SME ambayo ni special bundles kwa wafanyabiashara kasi na unafuu wa gharama ndio kinachozingatiwa.

Tigo unanunua router, simu card yako tunaiwezesha na huduma ya bundle nafuu ambapo kwa 250 mwaka / 350 miaka miwili unaweza tumia unlimited internet.

Karibu inbox for more details mkuu.
 
Mbona bei yako kali kuliko official.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom