Shomary47
JF-Expert Member
- Feb 12, 2021
- 234
- 371
Habari zenu wanajamvi, hivi karibuni nilifanikiwa Kujaza Fomu za kujiunga na huduma ya "Tigo Business"
Leo wiki moja imepita bado sijaungwa, kila nikimuuliza wakala alieniunga anasema kuna tatizo la kimtandao na wanashughulikia,
Naomba kuuliza kuna aliyefanya maombi Kujiunga hizi karibuni anipe mrejesho tafadhali, maana bando hizi za kawaida imekuwa gharama sana, hasa sisi wenye kazi za mitandaoni.
View attachment 2368631