Search results

  1. W

    Mashine za Bakery zinauzwa

    Habari wana JF, Wanaohitaji kufanya biashara ya kuuza mikate, kuna seti ya mashine zinauzwa Mjini Dodoma. Mixer kilo 25, Oven deki 3, na bread slicer. Mashine zote zipo order. Bei maelewano. Napatikana kwa namba 0717237845 au 0767578984. Karibuni waungwana, natanguliza shukrani.
  2. W

    Save the Children International Organisation

    Habari wana JF, Jamani wadau naomba mnisaidie kama kuna yeyote ambaye anafahamu salary packages za hawa jamaa wa Save the children International organisation maana kuna kazi yao moja hivi nimeomba. Tafadhalini wakuu naomba msaada kwa mwenye idea. Natanguliza shukrani
  3. W

    Mdomo Mchungu

    Habari wana JF, Naomba kupatiwa ufafanuzi, tatizo la mdomo kuwa mchungu linasababishwa na kitu gani, maana ni siku ya pili sasa. Naomba msaada wenu pleaseeeeee.
  4. W

    Ngono mapenzi - naomba mnisaidie jibu wana jf

    CONDOM - care of luv PREGNANCY - proof of luv SEX - experience of luv BREAST - shape of luv KISS - heat of luv VGNA - depth of luv PENIS - length of luv AIDS - ?????????????????????????
  5. W

    A sad chinesse story

    A very sad Chinese story...
  6. W

    Wanaume sisi Part 1

    Wanaume wanaumwa ugonjwa maarufu unaitwa 'I want that taste Disease' hatutosheki...Utakuta mtu ana mke mzuri,unywele hadi mgongoni,shape kama kachorwa na bikari,kamuoa yuko home lakini akiwa nje ukipepe kama kawa,na anacheat na mwanamke ambaye wengine hata huelewi kafuata nini maana wako below...
  7. W

    Mademu part II

    Eti mimi nataka Mwanaume awe mtanashati,awe Na Kazi yake ya Kueleweka, awe na Pesa,awe amesoma soma May Be Chuo hivi hapo Sawa Vingnevyo tupa Kulee, Wewe Mbona umeishia Darasa la saba? hata Chuo Cha Unesi kimekushinda!! unadhani kusoma Kazi rahisi eeh??? Pesa zimekushinda Kutafuta unamuwazia...
  8. W

    Mademu

    KWA WASICHANA MKICHUKIA SAWA TU:Mgongo" Umechanjwa chanjwa Kama Mganga Wa Kienyeji Bado Unavaa Kinguo kinaacha mgongo wazi,Mguu" Umekomaa Kigimbi hicho Kama mcheza mpira wa miguu, "Eti nawe kimini kila siku",Kingereza" Kibovu, unajidai Kila sentensi kutupia 'Yes' 'No' 'I wish' 'May Be'. hahaha...
  9. W

    Nimecheka sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    Stolen Somwea Una miaka zaidi ya 30 hujui gharama ya kitu chochote zaidi ya BBM PARTY, BEACH PARTY na sijui nini BASH, Hujui bei ya mchele wala unga, wewe unajua bei ya BUNDLE, SUPRA, WIGI na CHIPS YAI, Wenzako wanawaza HELA na KAZI, wewe unawaza pakuche ukaazime NGUO, CD kisha ujiunge na XTREME...
  10. W

    Re: Moyo umehamia kwenye mapafu

    Habari za leo wadau wa jukwaa la JF Doctor, mwenzenu nilikua na muda mrefu sana sijafanya ngono kama miaka sita hivi, sasa nimepiga show ya kufa mtu na dada fulani hapa majuzi. tangu baada ya mechi hiyo nimekua najisikia vitu ambavyo sivielewi kabisa mwilini mwangu. Najisikia kama vitu vinachoma...
  11. W

    Re: Research assistant post data aid

    habari wadau, hawa jamaa wanaitwa Data Aid walitangaza kazi za research assistant mikoa kibao hivi karibuni tukawa tumeomba.. sasa wakatutumia sms wakisema tumeshapata nafasi ila tutume 10,000 kwa njia ya MPESA kwaajili ya maandalizi ya training kabla ya kazi.. tumeshatuma hizo pesa ndo...
  12. W

    Re: Access bank

    Habari wana JF, Nimeitwa kny usaili na hawa jamaa wa Access Bank Mwanza niliomba tu kama Bank officer, nimesikia tetesi kwamba hawa jamaa hamna kitu kabisa kwenye ulipaji. Ntashukuru kama ntapata details kwa mtu anaefahamu chochote kuhusu hawa watu. Shukrani
  13. W

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Habari wanaJF, Ninaomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi". Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako. Mfano: Ualimu Tanzania ni kazi ngumu kiasi Kiasi ambacho kama hukuzoea maisha ya tabu, utalalama kila siku Siku uianze...
  14. W

    Re: Vichekesho nane vya nguvu. Enjoy...

    Mwizi wa atm Jamaa aliibiwa kadi yake ya benk akaulizwa kama ameripoti polisi akajibu "sijaripoti bado, mwizi mwenyewe hamfikii matumizi kama mke wangu. Cheka kidogo Njia rahisi kusahau matatizo yako (japo kwa muda mfupi) vaa viatu vinavyokubana. Mlizi mbio mbio Tulikuwa bar...
  15. W

    Re: Wahaya wako juu sana aisee

    Hawa jamaa wamebarikiwa sana, yani ni werevu, wajanja, wana busara, wana nguvu, ni wachapakazi, wanajiamini, ni viongozi, wanajituma, alafu wanahela na wanampenda Mungu. Yaani wahaya wamebarikiwa sana. Proud 2b one of them. Thanks God
  16. W

    ANTI VIRUS VOLUME THREE reloaded

    nIMEONA vinega wametoa review ya track zitakazokuwamo kny antivirus volume three kupitia swahilioriginal.com: The Leading Swahili Original Site on the Net ingia humo ndani usikilize hizo ngoma.. naona ruge katukanwa kama kawa.. wanamuita Ruge Kahaba.. kweli hawa jamaa wamemchoka huyu bwana...
  17. W

    Re: Punyeto kwa ofisi

    Mwajiriwa: Boss umeniita? Boss: Yeah,nimekuita nenda kapige punyeto mwajirira: (baada ya mda mfupi): sawa boss,tayari nimepiga. Boss:Nenda kapige tena. Mwajiriwa: tayari nimeshapiga tena Boss: Nenda kapige tena mara ya mwisho. Mwajiriwa: Boss nimeishiwa hadi nguvu,sina uwezo tena wa...
  18. W

    Re: Friji mpya

    Jamaa alinunua friji jipya, akawaza namna ya kuondokana na lile la zamani basi hatimae akaliweka nje ya nyumba yake na kuandika kibao ANAE TAKA KUCHUKUA ACHUKUE BURE. Watu wakawa wanapita wanafungua lakini kila mtu akawa anaogopa kuchukua maana hakuna aliyeamini mtu anaweza akagawa friji...
  19. W

    Re: Top ten wanamuziki mamilionea bongo 2008

    Kny link ifuatayo hapa chini ni wanamuziki mamilionea bongo mwaka 2008 kutoka katika blogu ya kaka Michuzi Anaongoza Lady Jay dee Mil. 500 na wa kumi ni Mwana FA Mil. 50 duuu MICHUZI: wasanii mamilionea wa bongo
  20. W

    Re: Nikki minaj awatukana wakatoliki duniani

    NICK MINAJI WA YOUNG MONEY JANA ALIINGIA KNY TUZO ZA GRAMMY AKIWA AMEVAA KAMA SISTA HUKU YUKO NA KIBABU FULANI KIMEVAA KAMA PAPA KABISA... ANGALIA PICHA KNY ATTACHMENT.. HUU NI UHUNI NA UDHALILISHAJI WA DINI YA WAKATOLIKI.. ALAFU HAWA YOUNG MONEY WANAJIONA WAMESHAWEZA SANA MAISHA.. WAKATI HAYO...
Back
Top Bottom