Re: Research assistant post data aid | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Re: Research assistant post data aid

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Wambuzi, Oct 24, 2012.

 1. W

  Wambuzi JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  habari wadau, hawa jamaa wanaitwa Data Aid walitangaza kazi za research assistant mikoa kibao hivi karibuni tukawa tumeomba.. sasa wakatutumia sms wakisema tumeshapata nafasi ila tutume 10,000 kwa njia ya MPESA kwaajili ya maandalizi ya training kabla ya kazi.. tumeshatuma hizo pesa ndo tunasubiria majibu yao wamesema tusubirie kupangwa mikoa.. kuna mtu kanambia kuwa tunaweza kuwa tumeliwa.. na hizi kazi walizitoa kupitia zoomtanzania hawakutoa website ila namba ya simu... na wamesema watakuwa wanalipa dola 25 kwa siku.. TUNAWEZA KUWA TUMELIWA KWELI????? KUNA AMBAE ALISHAWAHI KUWASIKIA BEFORE???? MSAADA WADAU
   
 2. Mwakitobile

  Mwakitobile JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 453
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Umepigwa mdogo wetu!hao jamaa hawajaanza leo michezo hiyo na wala wewe hautakuwa wakwanza wala wa mwisho kupigwa.Ushauri wangu ni kuwa vijana mnatakiwa mjipange kutafuta mitaji midogo,ili muweze kuwa wajasiriamali,kwani kusubiri kuajiliwa kutawacheleweshea maendeleo
   
 3. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,819
  Trophy Points: 280
  Hapo mkuu umeshaliwa/mmeshaliwa. Umeona wapi prospective employer anawaambia applicants walipie anything? Wakulaumiwa ni wewe na wote mliolipa.
   
 4. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  elimu haijawakomboa wadogo zangu!!
   
 5. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  mamaaaaaa,umeshalizwa hapo, pole sana
   
 6. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,819
  Trophy Points: 280
  Ndio tatizo ya elimu za kufaulu mitihani na kukariri, haikusaidii inapokuja critical thinking
   
 7. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Hicho kipigo cha wazi hakuna kazi za namna hiyo! subirini tu miujiza...
   
 8. U

  UZEE MVI Senior Member

  #8
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 192
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  umeuliza jibu.
   
 9. F

  Fmewa JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Pole sana, hapo umeliwa wala usibiri kuitwa. Kazi yoyote ile na kampuni yoyote ambayo ni real hawawezi kukuomba hela kwa ajili ya training. siku zote ni jukumu la mwajiri kutrain wewe baada ya kuona kuwa wewe unazo sifa (entry qualifications) kwa hiyo ukiona kampuni yoyote inakuomba hela kwa ajili training na mambo mengine hao ni waongo. km wapo serious wangekulipia hiyo hela halafu wakate kwenye mshaara wa kwanza.
  Pole sana ndugu yangu, hizo ndo changamoto za maisha na tunajifunza kutokana na makosa.
  Thanks
   
 10. kaburu mdogo

  kaburu mdogo JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 421
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  nina wasiwasi na upeo wako wa kufikiri,hata kama ni njaa si kiasi hicho!unatafuta kazi halafu unainunua tena kwa buku 10?elim haijakukumboa maana huwezi kununu kazi wakati uhakika wa kuipata huna
   
 11. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,842
  Trophy Points: 280
  Pole sana mleta uzi...ukiona manyoya ujue keshaliwa huyo...............
   
 12. Francis Makari

  Francis Makari Member

  #12
  Oct 26, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Pole sana dogo, hakuna mahala ili uajiriwe unalipia ukishaona hivo ujue unaibiwa.
   
 13. A

  Alakara Armamasitai Verified User

  #13
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 415
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  mafala mimi nilivyotaka kuomba nikaona watu wenyewe hawana ofisi ispokuwa wanahitaji waajiriwa itakuwa mwajiri anakwambia tuma kwanza 10,000 halafu ndi usubiri kupangiwa mkoa hamna kitu kama hicho kaka
   
 14. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #14
  Oct 29, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  hahahaha nimecheka mpaka basi ogopa mtu anaekuomba pesa thru mpesa na tgo pesa,hapo hamna ushaidi unapigwa kama chelsea
   
 15. NeyB

  NeyB Member

  #15
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 20, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 3
  Ple sana mtoa uzi...mim pia nliomba but walivontumia email ya kutoa 10,000 kwanza kwa M-PESA nkaona uzushi huo...nkawatupa kulee..hamna ofisi wala nini,utawakamatia wapi..itc jus number ya simu of which akishapokea hizo pesa anaicancel humpati tena huyo Director wao..Imagine Director mzimaa anatoa number yake ya M-PESA atumiwe pesa ndo aajiri watu..kwa staili hiyo kuna kazi kweli hapo,na hata ukifanya nao kazi jua malipo yao yatakua ya kizushi sana tena ndo wakikutupa mkoani uatajuta kabsaa...nakushauri upumzike tu nyumbani au kama una kamradi kako stick into it n endelea kufight sehemu nyingine...
   
 16. kubwalamaadui

  kubwalamaadui JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 24, 2012
  Messages: 326
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ndio maana unaitwa wambuzi.yaan mi walinitumia hiyo email baada ya kuapply,jibu nililowapa nafikiri waliniona nuksi.wewe wawapi.umeliwa hapo
  aisee pole sana,ukijaribu hata kugoogle kampun kama hyo haipo.pole sana
   
 17. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 12,505
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  hahahahaha umeliwa mkuu, awa jamaa ni matapel
   
 18. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #18
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 12,505
  Likes Received: 3,314
  Trophy Points: 280
  nakupambuka juz jamaa wangu kapigwa laki 2 ili apate kaz tanapa..tena thru tgo pexa
   
Loading...