ANTI VIRUS VOLUME THREE reloaded | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ANTI VIRUS VOLUME THREE reloaded

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Wambuzi, Jun 9, 2012.

 1. W

  Wambuzi JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  nIMEONA vinega wametoa review ya track zitakazokuwamo kny antivirus volume three kupitia swahilioriginal.com: The Leading Swahili Original Site on the Net ingia humo ndani usikilize hizo ngoma.. naona ruge katukanwa kama kawa.. wanamuita Ruge Kahaba.. kweli hawa jamaa wamemchoka huyu bwana.. kuna mstari mmoja unasikia ukisemwa na bibi kizee kwamba "WE BIBI TWELVE NA MADAM MCHOVU...MNAKUA NA MAMBO YA KIKEKIKE, SI MJE SALUNI TUWASUKE TUPIGE HELA... HAMNA KAZI YA KUFANYA MNABANIA TU WASANII... DUH.. ngoja tuisubiri hii albam aisee.............
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kuna siku niliongea na sugu akasema yameisha inamaana mtifuano bado uko palepale...
   
 3. Mkare_wenu

  Mkare_wenu JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  haina maana tena hiyo antivirus,imekuwa taarab tu
   
 4. W

  Wambuzi JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  yeah broda.. hawa jamaa wanaendelea kuchanana kama kawa aisee.. hakuna kilichoisha.. ila naona with time antivirus inaenda inakosa mashiko.. i have to admitt that
   
 5. G

  Ginner JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  Me nililiona hili tangu mapema tu, tangu lini muhuni akadai haki yake na akapata....
   
 6. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ifikie mahala wajue mda wao waliuchezea wenyewe.
  Wadizain mengne tu.
   
 7. W

  Wambuzi JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  true dat mkuu
   
 8. Mfarisayomtata

  Mfarisayomtata JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 419
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Bange zinafanya kazi.
   
Loading...