Wambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 558
- 336
Habari wana JF,
Wanaohitaji kufanya biashara ya kuuza mikate, kuna seti ya mashine zinauzwa Mjini Dodoma. Mixer kilo 25, Oven deki 3, na bread slicer. Mashine zote zipo order. Bei maelewano.
Napatikana kwa namba 0717237845 au 0767578984.
Karibuni waungwana, natanguliza shukrani.