Re: Nikki minaj awatukana wakatoliki duniani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Re: Nikki minaj awatukana wakatoliki duniani

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Wambuzi, Feb 14, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. W

  Wambuzi JF-Expert Member

  #1
  Feb 14, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  NICK MINAJI WA YOUNG MONEY JANA ALIINGIA KNY TUZO ZA GRAMMY AKIWA AMEVAA KAMA SISTA HUKU YUKO NA KIBABU FULANI KIMEVAA KAMA PAPA KABISA... ANGALIA PICHA KNY ATTACHMENT.. HUU NI UHUNI NA UDHALILISHAJI WA DINI YA WAKATOLIKI.. ALAFU HAWA YOUNG MONEY WANAJIONA WAMESHAWEZA SANA MAISHA.. WAKATI HAYO YAKIENDELEA, DRAKE WA KUNDI HILO HILO AMEANZISHA BIFU NA MKONGWE COMMON. NA LEO AMETWEET KWAMBA HE DOESNT DEAL WITH LESS SUCCESSFUL NIGGAZ.. HAWA JAMAA WAMEKUWA ***** SIJUI KWA NINI. TENA HUYU NIKI MINAJI AKIJA KUWAFANYIA HIVI WASUNI LAZIMA WAMLE TIGO ALAFU WAMFUNGE NA BOMU KIUNONI.. SHAME ON THEM, NA TRACK ZAO SIDOWNLOAD TENA  http://www.mtv.com/photos/mtv-buzzworthy-blog-the-most-awesome-2012-grammys-photos/1679116/6896670/photo.jhtml
   

  Attached Files:

 2. sister

  sister JF-Expert Member

  #2
  Feb 14, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,029
  Likes Received: 3,940
  Trophy Points: 280
  hawa wana muziki ni pasua kichwa kweli kama Lady Gaga kwenye video yake moja hivi aliigiza mambo ya Yesu, Mungu pekee ndo anayejua Hukumu ya hawa watu na wanatuchokoza wakristu coz wanatujua tulivyo, kama anaweza akavae kama Al-shabab aone kitakachomtokea.
   
 3. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #3
  Feb 14, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,740
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Dah! Hii ni dhambi kubwa sana. Inampasa atubu kabla hajakiona cha mtema kuni
   
 4. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #4
  Feb 14, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,255
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  common ni mkali, huyo Drake ye anamafanikio gani mpaka amdis common!
   
 5. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #5
  Feb 14, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,378
  Trophy Points: 280
  Mhh, kama mabaya kumkuta, yangekuwa yameshamkuta lady gaga. Ila wengi wanaponda kanisa katoliki kwa sababu lina maovu mengi na waache waliponde. Watajiju. Mi nina deal na nafsi yangu. Mbona Leonardo Da Vinci hakupata madhara alipolifichua maovu yake?
   
 6. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #6
  Feb 14, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Common ni level zingine!alikuwepo na ataendelea kuwepo!hip hop legend....Drake amefail hapo!
   
 7. Wang'wise

  Wang'wise JF-Expert Member

  #7
  Feb 14, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 273
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Huyu mdada anamatizo, hata kama ni usupa staaa hii imezidi
   
 8. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #8
  Feb 14, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Huyu mtoto naye ni bangi zinamzingua! Hilo genge analokua nalo kina Lill Wiyne linamuharibu!
  [​IMG]
   
 9. Mpiga Nyoka

  Mpiga Nyoka JF-Expert Member

  #9
  Feb 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Daughters of Satan=Nickie + Gaga
   
 10. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #10
  Feb 14, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Huu mziki wa kizazi kipya naona umeingiliwa na Shetani!
  [​IMG]
   
 11. Tonny

  Tonny JF-Expert Member

  #11
  Feb 14, 2012
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 217
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hakuna dhambi ya kuvaa kama papa au kuvaa kama sister, papa nae ni binadamu wa kawaida kama nicki minaj,
   
 12. L

  Luluka JF-Expert Member

  #12
  Feb 14, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Badala ya kugain popularity ameloose popularity!shame on her
   
 13. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #13
  Feb 14, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Tatizo katika imani ni kuwa watu wengi wanatukuza mavazi.Lakini kiukweli mavazi ni bure kulinganisha na roho ya mtu ,na ndio maana kwa sisi wakristu wala hatuna matatizo nao lakini ingekuwa amepanda hapo jukwaani amevaa hijabu na kaongozana na aliyevaa kanzu na barghashia kwa wenzetu wangeandamana dunia nzima na pengine hata kutangaza Fatwa kwa kuwa wao wanaangalia zaidi mwili wa nje , ooops samahani,
   
 14. client3

  client3 JF-Expert Member

  #14
  Feb 14, 2012
  Joined: Aug 6, 2007
  Messages: 742
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  ....illuminati at work.......
   
 15. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #15
  Feb 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  "My Flow tight like **** in the ****"-Nick Minaj
   
 16. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #16
  Feb 14, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,378
  Trophy Points: 280
  true, hapo umenena. Wavae tu. Sisi hatujali mavazi.
   
 17. Dachr

  Dachr Senior Member

  #17
  Feb 14, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Vijisenti vya ulimwengu vinamzuzua.we ngoja nyuma ya pazia
   
 18. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #18
  Feb 14, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,534
  Likes Received: 5,685
  Trophy Points: 280
  New generation artist ni matatizo dunia nzima! Wengi hawana vipaji vya kushangaza lakini wanafanywa kuwa maarufu na mfumo wa sasa wa soko! Zamani tuliwapenda wasanii kutokana na ukali wa mashairi na beats za nguvu zikinakshiwa na michano very unique tuliwapenda bila hata wengine tukiwa hatujawahi kuona video zao! Kiukweli kwa wasanii wa sasa wangeweza kutoka bila video na matukio kama Nicky Minaj na Lady Gaga? Lakini ndio kizazi chao hiki kinachopenda ovyo!!
   
 19. W

  Wambuzi JF-Expert Member

  #19
  Feb 15, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  umeona eenh.. lazima wamnanihi
   
 20. W

  Wambuzi JF-Expert Member

  #20
  Feb 15, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  acha wewe... pamoja na kwamba ni binadamu.. lakini kwa wakatoliki tunamheshimu kama kiongozi wa kanisa letu.. na kwasababu ana vazi lake special awapo kny ibada.. vazi kama hilohilo likitumika kny mambo ya starehe kama hivo.. it is not right aisee
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...