Re: Top ten wanamuziki mamilionea bongo 2008 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Re: Top ten wanamuziki mamilionea bongo 2008

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Wambuzi, Mar 6, 2012.

 1. W

  Wambuzi JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Kny link ifuatayo hapa chini ni wanamuziki mamilionea bongo mwaka 2008 kutoka katika blogu ya kaka Michuzi

  Anaongoza Lady Jay dee Mil. 500 na wa kumi ni Mwana FA Mil. 50 duuu


  MICHUZI: wasanii mamilionea wa bongo
   
 2. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Hivi ile tarehe ya sikukuu ya wajinga ndio lini tena?
   
 3. W

  Wambuzi JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  ha ha ha ha ile ni trh 1 april... hii kitu iliandikwa 2008 muzee
   
 4. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Washazimaliza naona wengine wako juu ya vigogo....
   
 5. B

  Bayo Senior Member

  #5
  Mar 6, 2012
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  izo data ni uongo mtupu Jide alikuwa na 500 million 2008!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! wizi mtupu
   
Loading...