Search results

  1. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Kumbe manara hakua pekee yake?

    TRAB na TRAT.
  2. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Hayati Magufuli asingekubali kutoza tozo za laini ya simu kwa wanyonge. Huku ni kuonea watanzania. Mbona alifanya makubwa bila tozo?

    Huyu angekuwa demu angekuwa anatoza sana wanaume, Lionel bichwer kama TRAB na TRAT.
  3. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Waziri Mwigulu: Serikali kutoza Tsh. 10-200 kwa siku tozo ya laini moja

    TRAB na TRAT kemermayo mwigulu kama kweli.
  4. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Rais Samia, ingilia kati tulipwe fedha za mradi wa Ufugaji samaki kupitia Vizimba-Mwanza

    Yaaa, yaaa, Yaa, yaaa, yaaa, yaaa, yaaa, yaaa, yaaa TRAB na TRAT.
  5. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Rais Samia, ingilia kati tulipwe fedha za mradi wa Ufugaji samaki kupitia Vizimba-Mwanza

    Njoo mezani tulambe Asali, nadhani utapunguza munkari tuyajenge.
  6. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Ipi sababu ya wasabato kujizolea sifa ya kutokuwa walevi tofauti na madhehebu mengine ya wakristo?

    Nadhani dini yao hairuhusu unywaji, wakatoliki tunaruhusiwa kunywa ila tusilewe, sasa ukishaonja ni vigumu kuji control, unajikuta umelewa , waislamu hawaruhusiwi ila Qur an inasema peponi kuna mito ya pombe. Sasa waislamu wanajiongeza kama mbinguni ipo kwanini hapa tusinywe.
  7. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    CEO alishakuwa cleared na mahakama ya Zambia

    Muda utazungumza, tulieni makolo
  8. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Penzi la mhudumu wa 'Lodge' Dodoma limenikosha mwenzenu

    Jana nimemla demu wa telegram kwa 15000 majengo dodoma.
  9. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Nina wasiwasi na mke wangu...

    Atakuwa anaonana na Bei Elekezi
  10. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Warusi wazidi kumpinga Putin. Marekani watoa onyo kali kwa Urusi

    Habari hizi zinaniumiza mimi Mrusi wa Buza, kwani hakuna habari nyingine? Mtaani niliwaaminisha wamarekani wa Buza kuwa tutawapelekea moto wa Yukreini mpaka waseme wawa badala ya ubwabwa. Sasa mambo yamebadilika Dejan Mtukazi anamtwanga Ocra Andunje.
  11. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Kassim Majaliwa akwea pipa kuelekea Japan kumzika ABE

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo Jumamosi, Septemba 24, 2022 kwenda Tokyo, Japan ambako atamwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mazishi ya ya kitaifa ya Waziri Mkuu mstaafu wa nchi hiyo, Shinzo Abe. Taratibu za kutoa heshimaza mwisho zinatarajiwa kufanyika Jumanne...
  12. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Mrusi wa Buza: Barua ya wazi kwa Rais Putin

    Habari za hapo Moscow Urusi, mimi niko poa kabisa hapa Buza kwa Mparange. Lengo la kukuandikia barua hii ni kuonesha masikitiko yangu kwa kile kinacho endelea hapo Ukraine. Mimi Mrusi wa Buza niliwaaminisha watu mtaani kwangu kuwa tunaweza kuichakaza Ukraine kwa siku 3 tu kama ulivyo tuahidi...
  13. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Tangu Ahmed Ally aje Msimbazi timu yetu haijawahi kuifunga timu ya Yanga

    Simba hii ninayoifahamu au Simba gani? Hiihii iliyobandua logo ya sportpesa kwenye jezi na kubandika za m-bet?
  14. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Putin: Muda wowote tutaanza kushambulia isivyotarajiwa

    Mrusi wa buza nimemaindi sana baada ya Putin kushindwa kuipiga Ukraine kwa siku 3 na mimi mtaani niliwaaminisha watu kuwa ni vita ya siku 3 tu.
Back
Top Bottom