1. BC INVESTMENT
Hii ilkuwa na platform ya uwekezaji ambayo walikuwa wanatoa takribani 7% ya pesa uliyowekeza na kiwango Cha chini kuwezeza ilikuwa 14,000/=
2. QNET
Hii sina experience nayo ila nasikia Ilipita na Hela pia.
3. EARNJET AGENCIES
Mkurugenzi wake alidai anatoka Nairobi anakuja...
labda umeshaona story nyingi kuhusu SRI LANKA na labda hujui tumefikaje hapa na ndiyo sababu unasoma hapa,au unajiuliza hivi nchi inawezaje ku collapse kiasi cha kukosa hela?kwanza nchi inakosaje hela?inamaana noti zimepotea?
Mwingine hata huelewi SRI LANKA yenyewe ndo wapi. So twende nikupe...
1. Jifunze kuwa Mbunifu. Hakuna kitu kipya sana,vitu ni vilevile,lakini kama kijana mwenye ndoto kubwa jifunze kuwa mbunifu,Usiendelee kufanya vitu kwa mazoea,Kuwa mbunifu katika kila jambo unalofanya ili ulete utofauti katika eneo husika.
2. Jifunze stadi za Maisha (Life skills),Duniani kuna...
Unahitaji kununua simu mpya lakini kwa bei hiyo hiyo unakutana na simu used yenye uwezo mkubwa zaidi ya mpya. Unabaki njia panda
Maamuzi sahihi ni kununua simu mpya na maamuzi sahihi ni kununua simu used. Namaanisha [emoji116]
SIMU-MPYA
inakuhakikishia kuwa wewe ndiye mtu wa kwanza kuitumia...
Habari!
Kumekuwa na taarifa nyingi za kushtusha za mauaji ya wanandoa, watoto, na kesi nyingi Sana za kushtusha ambazo mwanzoni hazikuwa zinatokea mara kwa mara kama ilivyo sasa hivi. Huwa na jiuliza tatizo ni nini haswa.
1. Maisha magumu?
2. Mmong'onyoko wa maadili kwenye jamii zetu.
3. Stress...
1. Mwanangu Hatuwezi kuwa sawa wao wazazi wao wanawapa wanachotaka, Sisi wazazi wako Tutakupa Tunachopata..
Zifatilie zingine ishirin( 20 ) Hakika zitakufundisha na Wewe...
2. Mwanangu Ukitambua na kutafakari ulipotolewa na Mungu hakika hautashindwa kusema asante kwake. Mshukuru Mungu kwa kila...
[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️
[emoji432][emoji432][emoji432][emoji432]
Je ameku block ?ukipiga unaambiwa namba unayopiga inatumika kwa sasa kila muda ukipiga au hapatikani na ukimcheki kwa namba nyingine anapatikana hii hapa trick ata kama ameku block simu lazima ita...
Wanaume huwafuata Wanawake kwa mambo mawili, ambayo ni MAPENZI na SEX. Lakini inapofika hatua ya Kuoa, Wanaume hawaoi kwa sababu ya SEX au MAPENZI, wanaoa kwa sababu ya kutafuta AMANI NA UTULIVU WA NAFSI (STABILITY).
Mwanaume anaweza kukupenda na asikuoe
Mwanaume anaweza kuwa anafanya mapenzi...
Michael Jackson – (50) 1958 - 2009: In 2009, MJ, known as the King of Pop, was found dead at his home in Los Angeles. He reportedly suffered from a cardiac arrest. In the week after his death, he became the 1st artist to have sold over a million digital tracks in a week
Paul Walker (40)
Paul...
1. Acha kuwaomba watu kila wakati, muamini Mungu kwa kila jambo.
2. Acha kuwafuta wasiyekutafuta.
3. Usile chakula cha watu wengine zaidi ya wao kula chako.
4. Punguza jinsi unavyowatembelea baadhi ya watu hasa pale wanapokuwa hawaonyeshi kujali.
5. Wekeza ndani yako. Jifanye kuwa na furaha...
~ Watu kama Julius Caesar, Theodore Roosevelt, James Bond, Thomas Shelby bila kumsahau Vladimir Putin
~Watu hawa wanaitwa Alpha Males
~ Wanaume wengi wanahitaji kua kama hao, na wanawake wengi wanahitaji kuwa na watu hao
~ Hawa ni watu ambao wanaishi as if dunia wanaimiliki wao. Na mara...
Find out your why
You gotta ask yourself, "Why do you even want to stop being shy and awkward?"
"To impress others?", "To make your circle bigger?" or something else?
Jotting down the reasons will incentivize you to actually start working upon it.
Don't just aim blindly.
Remove the labels...
1. Kamwe usichumbie mke wa rafiki yako, kwa maana unajiweka wazi kwenye kifo;
2. Kabla ya kufunga mlango wa kulala, angalia ikiwa haujasahau kitu nje;
3. Rafiki yako akipata riziki, uwe na furaha, na milango pia itafungua zamu yako;
4. Usiseme sana mbele ya wazee wako, bali sikiliza sana...
Miaka ya 70’s 80’s Tanzania kutokana na sera yake ya ujamaa ilikuwa ana urafiki mkubwa na nchi ya Urusi, katika urafiki huo uliwezesha wanafunzi wengi wa Kitanzania kwenda kupata masomo kwenye vyuo vikuu vya Urusi [emoji116]
Hii ilikuwa fursa kubwa kwa nchi ya Urusi kupata nafasi ya kuingiza...
1. Mkumbushe mwanao kuwa WIVU utamfanya amchukie Mtu ambaye alipaswa ajifunze kutoka kwake.
2. Mkumbushe Mwanao kuwa Msaada sio Haki yake asipopewa Asinung'unike atafute Chake.
3. Mkumbushe Mwanao kuwa Tumeona mazuri kwa watu waliokuwa wakiitwa wabaya na Tumeona mabaya kwa watu waliokuwa...
1. ~Ikiwa unataka kuwa hodari jifunze kupambana peke yako ukichoka jifunze kupumzika sio kuacha.
2. ~Ishi kama huoni vikwazo katika maisha yako.
3. ~Huwezi jua kama unaweza kama hutojaribu.
4. ~Fahamu kuwa hakuna kitu ambacho huwezi kukifanya ila kuna vitu kadhaa ambavyo hujajaribu kuvifanya...
1. Smile more
2. Put your phone away
3. Be grateful
4. Forgive
5. Listen to happy music
6. Declutter
7. Spend time with happy people
8. Spend time in nature
9. Exercise
10. Help people
11. Spend time with your pet
12. Sleep more.
Maswali ya msingi kabla sijakuelezea makato...
a) Kipi Bora kutoa hela kupitia kwa Wakala, ATM au Ndan ya benk (Over the counter)?
b) Kipi Bora kuangalia salio kupitia kwa Wakala, NMB mobile/CRDB Simbanking, ATM au Ndan ya!
benk (Over the counter) au internet Banking?
c) Kama umemaliza kutoa...
1.SIRI YA KWANZA
Tengeneza connection na watu usitengeneze urafiki, Iko siku marafiki uliowatengeneza watakugeuza Chakula Cha kula maana "kikulacho kinguoni kwako!", Siyo rahisi rafiki akakubali upate zaidi yake!..
2. SIRI YA PILI
Usimwamini sana rafiki yako ,kwa sababu huyo rafiki yako ana...
1. UKIPEWA KAZI/KUAJIRIWA
Tambua Kuwa Hiyo Kazi Muda Wowote Muajiri wako anaweza kukufukuza Endapo Hutofanya kazi Hiyo kwa bidii, kwahiyo hakikisha unafanya kazi ya watu kwa bidii zote na Nguvu zote hasa hasa..
Miezi ya Mwanzo.
Usiringe na kazi ya Watu kiasi cha kuwadharau wale wasio na kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.