Big Phil
Member
- Nov 20, 2019
- 50
- 338
Maswali ya msingi kabla sijakuelezea makato...
a) Kipi Bora kutoa hela kupitia kwa Wakala, ATM au Ndan ya benk (Over the counter)?
b) Kipi Bora kuangalia salio kupitia kwa Wakala, NMB mobile/CRDB Simbanking, ATM au Ndan ya!
benk (Over the counter) au internet Banking?
c) Kama umemaliza kutoa hela ATM je kuna haja ya Kuomba resiti ya Salio au uangalie kupitia Simbanking? Kipi bora?
d) Je, ikienda kwa wakala kutoa hela zikagoma kutoka kwa sababau ya salio Dogo Wakala akakwambia akuangalizie salio, Je, unajua ni kiasi gan wanakata pia ukiunganisha na kutoa utakatwa kiasi gani?
e) Je, unaijua faida na hasara ya internet banking?
I. GHARAMA ZA KUANGALIA SALIO
Kwa njia ya :-
a) ATM NMB shs 360, CRDB shs 354/=
b) Simbanking NMB 400, CRDB 400/=
c) Kwa wakala NMB shs 2000, CRDB 2000/=
d) Teller/Over the counter NMB shs 400, CRDB 500/=
e) Internet banking NMB Free, CRDB Free
II. KTOA HELA (CASH WITHDRAWALS )
a) ATM
i. shs 1000-20,000 NMB shs 1100, CRDB 1300/=
ii. shs 20,001-50,000 NMB shs 1200, CRDB 1300/=
iii. shs 50,001-100,000, NMB shs 1300, CRDB 1300/=
iv. shs 100,001-200,000, NMB shs 1400, CRDB 150,000-600,000 ni 1500/=
v. shs 200,001-400,000 NMB shs 1500, CRDB 1500/=
b) Kwa teller/Over the counter mfano
kutoa 400,000/= utachajiwa 4000 CRDB, NMB 4000/=
c) Kwa Wakala
i. 10,000-19999 NMB shs 1200/=
ii. 20,000-49,999 NMB shs 1500/=
iii. 50,000-99,999 NMB shs 2200/=
iii. 100,000-199999 NMB shs 3500/=
iv. 200,000-399999 NMB shs 4500/=
v. 400,000-599999 NMB shs 6300/=
Kuna tabia
hii watu wengi wanapenda kuifanya. Unaenda kwa wakala kutoa mathalan 4000,000/= ktk akaunti yako kuna 405,000/= lazima hela itagoma, Wakala atakuuliza tuangalie salio? Ukijibu tu ndio ataangalia salio na ktk akaunti yako utakatwa 2000 kama ni CRDB na kama ni NMB utakatwa almost 1500 hapo atakwambia una Salio la shs 402,000/= basi itabidi utoe sh 397,000/=
Ndg yangu kama una huduma ya internet banking angalia salio lako free kisha mwambie kiasi cha kutoa.
Pia kama umetoa hela ATM usiwe na tabia ya kuchukua risiti, angalia salio lako kupitia internet banking ni free. Kwa wanachuo wanaokaa offcampus mathalan unataka kutoa 400,000/= ukitoa kwa wakala utakatwa 6300/= ila kwenye ATM ingekatwa 1500/= tu, unaonaje kama ungepanda haisi shs 200 chapu ukaenda ndan ukatoa na kurudi 200 ukawa umetumia gharama 1900/ kulikokukatwa 6500/=?
Maisha ni budget, so do at your own Risk
imeandaliwa na Big Phil