Namna ya kumpigia aliyekublock

Big Phil

Member
Nov 20, 2019
50
338

Je ameku block ?ukipiga unaambiwa namba unayopiga inatumika kwa sasa kila muda ukipiga au hapatikani na ukimcheki kwa namba nyingine anapatikana hii hapa trick ata kama ameku block simu lazima ita ita tu.

Kwenye simu kuna kitu kinaitwa caller ID au caller identification ni huduma ambayo ipo kwenye Sim card inayomsaidia mteja kufanya utambuzi wa simu iliyopigwa na hii by default hia inakua on kwenye simu ,sasa kwasababu ameku block kitu unachotakiwa kufanya ni ku turn off caller id.

Ili simu yake isitambue namba yako kwamba imei block sijui kana flow ??? Ukii hide caller id yako na ukampigia kwake itatokeza kama private namba inampigia sasa cheki namna ya kuzima hio caller id

Android

Call Settings > Additional Settings > Caller ID halafu hide caller

Id then simu yako itakua anonymous na utaweza ku bypass blocked list

Halafu kwenye iphone tumia hii
Settings >call settings >show my caller id>slide kushoto iko ki button then enjoy life

Tumia code ya *67namba ya simu unayoipigia then ipige hio namba mfano *67 0782503218 ila hii inafanya kazi kwenye simu za mezani ambazo hazina caller ID.
 
Hakuna simu inaweza kupigwa bila CALLER ID kuwa ON au kuwezeshwa na mtandao husika.
Huduma ya kupiga simu kwa kuficha namba ili isionekane kwa mpigiwaji ilisitishwa toka mwaka 2006 huko. Zamani ulikuwa unaweza kupiga simu na mpigiwaji asione namba.

Hii ina maana ukificha utambulisho wako kama mpigaji, hakuna simu itakayotoka.
 
Kweli mtaalam😂😂😂😂😂
 
Thread Closed

Mleta Mada Akamatwe Haraka Atupwe Ndani Kwa Kuupotosha Umma Wa Watanzania
 
Hakuna simu inaweza kupigwa bila CALLER ID kuwa ON au kuwezeshwa na mtandao husika.
Huduma ya kupiga simu kwa kuficha namba ili isionekane kwa mpigiwaji ilisitishwa toka mwaka 2006 huko. Zamani ulikuwa unaweza kupiga simu na mpigiwaji asione namba.

Hii ina maana ukificha utambulisho wako kama mpigaji, hakuna simu itakayotoka.
Hii post imefunga uzi.. Ndo ukweli wenyewe...!!! Na ndo maana hasa ya usajili.. Huwezi sajiliwa halafu uruhusiwe kupiga simu kwa private number. Unless otherwise uruhusiwe na mtandao husika.. NAYO NI PROCESS
 
How about mtu skitumia simu matoleo ya zamani kama zile nokia jeneza,Motorola na simens inaweza kubali au?
 
Hakuna simu inaweza kupigwa bila CALLER ID kuwa ON au kuwezeshwa na mtandao husika.
Huduma ya kupiga simu kwa kuficha namba ili isionekane kwa mpigiwaji ilisitishwa toka mwaka 2006 huko. Zamani ulikuwa unaweza kupiga simu na mpigiwaji asione namba.

Hii ina maana ukificha utambulisho wako kama mpigaji, hakuna simu itakayotoka.
Hiki ndicho ninachojua! Kuna kipindi kuna mtu alikuwa anapenda kuniazima sim apigie watu wake, ilikuwa kiswaswadu mi nikawa nazima Call Id na simu zilikuwa hazitoki, akiuliza namwambia salio limekata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeshangaa mleta uzi kutuletea mambo ya kuhide ID....nilidhan ni uzi wa miaka ya 2003 huko ambalo mtu anakubeep huku kahid id
 
Hakuna simu inaweza kupigwa bila CALLER ID kuwa ON au kuwezeshwa na mtandao husika.
Huduma ya kupiga simu kwa kuficha namba ili isionekane kwa mpigiwaji ilisitishwa toka mwaka 2006 huko. Zamani ulikuwa unaweza kupiga simu na mpigiwaji asione namba.

Hii ina maana ukificha utambulisho wako kama mpigaji, hakuna simu itakayotoka.
Mleta mada soma muongozo huo...
 
dah, nimekumbuka zamani tulikuwa tunajiachia ma private number.
 
Back
Top Bottom