Big Phil
Member
- Nov 20, 2019
- 50
- 340
~ Watu kama Julius Caesar, Theodore Roosevelt, James Bond, Thomas Shelby bila kumsahau Vladimir Putin
~Watu hawa wanaitwa Alpha Males
~ Wanaume wengi wanahitaji kua kama hao, na wanawake wengi wanahitaji kuwa na watu hao
~ Hawa ni watu ambao wanaishi as if dunia wanaimiliki wao. Na mara nyingi hua hawafuati vile jamii inape delea (non conformity).
Wanafanya wanavyotaka wao na sio vinginevyo.
~ They are Badass
~ Jifunze Haya kutoka kwa Alpha Males, then hao wanawake unaowataka utawapata [emoji116]
~ Ushawahi kuingia club, party au kwenye mkusanyiko wa kijamii na ukaona baadhi ya wanaume wakiingia sehemu izo unakuta kila mwanamke anageuka kuwatizama
~ Ushajiuliza kitu gani hua kinawafanya wanawake wawatizame?
~ Muonekano, Pesa, Uzuri? Hapana
~ Two words : Body Language
Uwepo wao katika sehemu ni very powerful.
Ntakwambia kwanini?
1. Posture
Mara nyingi body language zao ziko open. Wakikaa sehemu wanachkua space, hawajikunyati.
Wakitembea always hua wanaangalia wanapokwenda na hawashuhulishwi na kitu kingine wakitembea (hata kuongea na simu)
2. Dominant Eyes
~ Alpha Males always hua wanafanya eye contact pindi wanapoongea na watu. Hii huonyesha confidence, power na Self Respect.
~ "The eyes of men converse as much as their tongue" -Ralph Waldo
Yani "Macho ya wanaume (Alpha) huzungumza kama vile ndimi zao"
3. Speak with Strength
~ mwanaume ukizungumza unatakiwa uzungumze with strength, sauti nzito (sio pitch voice).
Na huzungumza Slowly bila haraka.
~Katika kitabu cha "The 48 laws of Power"
Law 4: "Always say less than necessary. When you're trying to impress people with words.
..the more you say, the more common you appear and the less in control.." -Robert Greene
~ Yani "siku zote usiseme zaidi ya kile kinachohitajika useme. Ukijaribu kuwaimpress watu kwa maneno, kadri unavyoongea sana ndivyo unavyoonekana wa kawaida na huna control katika mazungumzo.
~Alpha Males huwa hawaongei zaidi ya wanachotaka kusema. Kwa kuspeak less kunafanya maneno yao yawe na thamani.
~ hakuna mtu ambae anaemuheshimu yule ambae haachi kuongea ongea ovyo hata paspohitajika kuongea

4. Alpha mindset
Kwa Alpha Males mindset kwao ni kitu muhimu.
~ wanaume wengi wa kizazi utandawazi wamekua wakiogopa kua wanaume. Wanahofia kutowakwaza mafeminist.
Wengi wanahangaika kuwafurahisha wengine hata ikiwa wao wataumia na watagaramika
~ Alpha Males huwa wanajifurahisha wao tu (they're selfish)
~ Alpha Males hua wanaamini mawazo yao kuliko mtu yeyote hata wapingwe na jamii nzima
~Hua wanayapa kipaumbele matakwa yao kuliko ya mwingine
~ wakifanya wanachoamini wao ni sahihi hua hawaombi msamaha kwa kuwa tofaut
~ hua hawahangaiki kumuimpress mtu yeyote hasa mwanamke [emoji852]
~ huwa wamerelax na hawajihusishi na mambo ya watu wengine mpaka yawahusu directly.
~hufanya wanachokipenda na hawajali kama wengine watapenda au laa.
5. Challenging and Disagreeable
~ Mara zote wao huwa ni challenging kwa watu wote
~ huwachalenji wanawake zao
~ mabosi zao
~ hawahofii kutoa mawazo yao hata kama yatatofautiana na matakwa ya mafeminist
~ na hot babes wakiwa mbele yao, hua wanaamini hao (babes) ndio wanatakiwa wa waimpress wao na kupata attention zao na si vinginevyo.
~ huwa hawakubaliani na kila mtu
6. No need to prove self
~ huwa hawana muda wa kujielezea kwanini kafanya maamuzi flani (si tulishasema hakuna kujielezea sana)
~ hua hawafanyi mambo ili wapate kuprove jambo kwa mtu. Wako comfortable with themselves
~ Wana very high self esteem [emoji854] na self respect [emoji120]
~ hawako available kwa kila mtu hasa kwa wanawake. Muda mwingi hua wanachase goals zao.
Wanafanya mazoezi na kurelax
Watoto wa uswazi tunasema "wanafanya mazoezi, wanakula vizuri, na wanalala kwa wakati"
N. B
Hawaogopi kugombana na watu kabisa
P. S
~Vitu hivi havina logic, hivyo usitumie logic kuvielewa. Najua havi make sense katika ukawaid.
~Ila amini kwamba ukibadili mfumo wa maisha yako katika life style hio hutakaa kusumbuka na mwanamke.
~Na ni wanawake ndio watakaojaribu kupata attention yako.