Habari wadau. Nimetokea kuipenda hiyo gari na natamani kuinunua panapo majaliwa. Naomba msaada kujua changamoto zake hasa.. ina shida gani... upatinakaji wa spea na menguneyo. Nimepitia thread kadhaa za nyuma hapa jamii forum juu ya gari hiyo ila sijapata majibu.
Natanguliza shukrani zangu kwenu!
kwenye ukatoliki kuna kitu inaitwa novena, nashauri uongozi wa kanisa hilo uangalie utaratibu wa kuitekeleza hiyo! tumeambiwa ombeni nanyi mtapewa, bisheni hodi nanyi mtafunguliwa! wamshatakie mungu kupitia novena na yeye atawapa jawabu
Naafiki hilo kiongozi, na sidhani kama hii kura ya siri inahitajika katika baadhi ya maeneo ambayo hayajakithili kwa mauaji... Kura hizo zipigwe hasa maeneo yaliyokithili kwa mauaji hayo!!
Hofu yangu tu kura hizo kutumika vbaya kwa watu wengine kuwataja wasiohusika kama kuna ugomvi baina yao..
Nimakaa na wairan na kufanya nao kaz kwa zaid ya mwaka mmoja uholanzi.. Nilikuwa kwenye project ambayo mm peke yangu nilikuwa toka africa na wao watano toka iran... Kwa mwaka nliokaa nao nilijifunza kitu toka kwao, walikuwa huru, wenye amani na furaha wakiwa pale, na hakuna mmoja wao aliyetamana...
Ninashangaa kuona wakristo wanakashfiana na kutoleana maneno machafu hapa... Hivi ndivo ustaarabu wa kikristo ulivyo... Ipo wapi ile amri ya kumpenda jirani?? Kwa minajili hii tutawezaje kuwatofautisha na watu wa mataifa?? Matusi, kejeli, chuki si mafundisho ya dhehebu lolote la kikristo...
Jaman hawa askari wetu waliofanya mazito juzi si watakuwepo huko pia?? Maana najua kutakuwa na maandamano tu kama ya cuf... Watusaidie kuyadhibiti kama ilivokuwa hapa darisalamu
Hlo kesho halitatokea songea... Sana sana watapewa difenda na askari wa kutosha kiwasindikiza na kulinda mkutano wao... Kuwatenganisha polisi na ccm ni kama kujaribu kutenganisha maziwa yaloyoyachanyikana na tui la nazi... Aslan haiwezekani!!
Polisi wana chuki na siasa zozote za upinzani...
Nilikuwa na wazo tofauti kidogo, kwa mm naona hawa vijana wamewekwa maalumu kumkabili lowasa labda ambaye anaonekana kasi yake ni kubwa kwenye mbio za uraisi... Nadhani target ni kuwa huko mbeleni ccm itakapoengua wagombea uraisi, jina la lowasa na vijana hao pamoja na walegwa wengine waenguliwe...
Tunalo la kujifunza hapa!! Unanikumbusha ule mfano wa kutoa boriti lililo jichoni mwako kabla ya kuangalia kibanzi kwenye jicho la mwenzako... Tunataka kuonekana tumeweza wakat ya kwetu yanatushinda...
huna haja ya kutishika kaka, nilihudhuria interview ya tpsc mwezi mei mwaka huu. watu tuliokuwa shortlisted tulikuwa 6 lakini tuliofika tulikuwa 3, maya zaidi wakaja wengine 2 ambao hawakuwa shortlisted kwa maelezo kuwa wameruhusiwa, it seems walikuwa na vimemo vya wakubwa...
Trust me hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.