Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,056
- 10,342
Shughuli gani hizo? Hii ndiyo shughuli ya msingi kiongozizitto amechanganyikiwa! Cdm wako kimya wanaendelea na shughuli zao!
Shughuli gani hizo? Hii ndiyo shughuli ya msingi kiongozizitto amechanganyikiwa! Cdm wako kimya wanaendelea na shughuli zao!
Eti nini? Zitto kaitisha Press Conference? Duh, yaani siyo ACT iliyoitisha Press Conference bali Zitto! How and why? Maybe I am missing something here...je kaitisha hiyo Press Conference kama nani? Jamani tukubali tusikubali, Chadema ina vichwa na intelligence yao lazima ni kiboko! Hebu fikiria kama hii Press Conference ingeitishwa kabla ya kutimuliwa...si ingekuwa balaa kwa Chadema! Hii ingekuwa sawa na katoto kupakatwa na baba halafu kanamnyea baba bila baba kugutuka kwamba katoto kake kanasokotwa tumbo. Bila shaka ni juu ya baba kugutuka mapema na kukawahi katoto msalani kasichafue hali ya hewa.Zitto aitisha Press Conference kesho (Machi 22, 2015) Serena Hotel
kijana tulia,punguza pressure Zito ndo kwanza anaanza,yani mwaka huu mtapakimbia pale ufipani.Eti nini? Zitto kaitisha Press Conference? Duh, yaani siyo ACT iliyoitisha Press Conference bali Zitto! How and why? Maybe I am missing something here...je kaitisha hiyo Press Conference kama nani? Jamani tukubali tusikubali, Chadema ina vichwa na intelligence yao lazima ni kiboko! Hebu fikiria kama hii Press Conference ingeitishwa kabla ya kutimuliwa...si ingekuwa balaa kwa Chadema! Hii ingekuwa sawa na katoto kupakatwa na baba halafu kanamnyea baba bila baba kugutuka kwamba katoto kake kanasokotwa tumbo. Bila shaka ni juu ya baba kugutuka mapema na kukawahi katoto msalani kasichafue hali ya hewa.
Lakini hata tukiacha hili; Chadema imemtema Zitto na haraka haraka ACT ikampokea, je hapa tunapata somo gani na tutegemee nini hiyo kesho? Kama lengo la kuwaita waandishi wa habari ni kuikandia Chadema, namshauri Zitto achukue tahadhari kubwa, kauli zake zinaweza zikawa na madhara kwake kuliko Chadema. Kudai demokrasia nchini imekuwa na gharama kubwa na wapo watu wameathirika kimwili na kiafya katika harakati zao za kupambana na chama tawala, CCM na wanazo alama za michubuko na makovu. Kwa hali tofauti kabisa yeye alibahatika kulikwepa tanuru walopitia wenzake bila kuathirika.
Zitto, amefanya maamuzi na bila shaka ni baada ya kutafakari kwa kina na kuridhika kuwa hakuna njia nyingine ya kuutumikia Umma zaidi ya hiyo aliyoichukua. Namtakia kila la heri katika safari yake mpya na kama walivyosema wahenga, mwisho wa safari moja ndio mwanzo wa safari nyingine. Katika vita ya kuikomboa Tanzania kutoka mikononi mwa hawa manyang'au yaliyokamata dola hakuna haja ya kugombea fito, mchango wowote ule utakaofanikisha harakati hizo is welcome. Ukawa imeonesha njia kwa kujenga msingi, ACT kama ina uchungu kweli na taifa linakoelekea nasema please join the band wagon.
Asante sana mzee stanlthecreator, hizo dalili zake tuliziona toka mwaka 2007 na kama ungekuwa unafuatilia mijadala iliyokuwa ikiendelea humu JF nyakati hizo, ungeniomba radhi! Lakini ndio hivyo tena nchi haina dira, vijana hawana adabu kwa wazee wao kwani maadili yametupwa dirishani na uongozi upo upo tu. Naomba tu usinishambulie kama alivyofanyiwa Mh. Jaji Warioba; naambiwa kijana aliyemzaba mzee wa watu makofi kaukwaa Ukuu wa Wilaya! Sijui wewe utaambulia nini!kijana tulia...
Zitto tuko naye toka 2007, muda wa miaka kumi! Kama ndio anaanza leo kumbe bado anayo safari ndefu! Je unayo habari aliwahi kususa kuingia JF? Je unayo habari aliwahi kuwaomba wana JF radhi kwa matamko yasiyo ya staha? Unajua kuna wakati alitaka hata kususia Ubunge na kurudi kukamata chaki? Hayo tuyaache kwani kulingana nawe mzee, Zitto ndo kwanza anaanza...!punguza pressure Zito ndo kwanza anaanza...
Mwaka huu 2014? Mbona kachelewa sana? Hivi kweli unawajua unaowasiliana nao humu JF...mm, naona umejiunga mwaka jana mwezi wa Januari! Kuna mengi huyajui. Alichelewa kidogo tu...angeondoka mapema labda angesevu kaheshima kadogo lakini ukweli mchungu ni kwamba katimuliwa (shown the door) na hiyo sifa haivuiliki, itamganda maishani!...yani mwaka huu mtapakimbia pale ufipani.
Eti nini? Zitto kaitisha Press Conference? Duh, yaani siyo ACT iliyoitisha Press Conference bali Zitto! How and why? Maybe I am missing something here...je kaitisha hiyo Press Conference kama nani? Jamani tukubali tusikubali, Chadema ina vichwa na intelligence yao lazima ni kiboko! Hebu fikiria kama hii Press Conference ingeitishwa kabla ya kutimuliwa...si ingekuwa balaa kwa Chadema! Hii ingekuwa sawa na katoto kupakatwa na baba halafu kanamnyea baba bila baba kugutuka kwamba katoto kake kanasokotwa tumbo. Bila shaka ni juu ya baba kugutuka mapema na kukawahi katoto msalani kasichafue hali ya hewa.
Lakini hata tukiacha hili; Chadema imemtema Zitto na haraka haraka ACT ikampokea, je hapa tunapata somo gani na tutegemee nini hiyo kesho? Kama lengo la kuwaita waandishi wa habari ni kuikandia Chadema, namshauri Zitto achukue tahadhari kubwa, kauli zake zinaweza zikawa na madhara kwake kuliko Chadema. Kudai demokrasia nchini imekuwa na gharama kubwa na wapo watu wameathirika kimwili na kiafya katika harakati zao za kupambana na chama tawala, CCM na wanazo alama za michubuko na makovu. Kwa hali tofauti kabisa yeye alibahatika kulikwepa tanuru walopitia wenzake bila kuathirika.
Zitto, amefanya maamuzi na bila shaka ni baada ya kutafakari kwa kina na kuridhika kuwa hakuna njia nyingine ya kuutumikia Umma zaidi ya hiyo aliyoichukua. Namtakia kila la heri katika safari yake mpya na kama walivyosema wahenga, mwisho wa safari moja ndio mwanzo wa safari nyingine. Katika vita ya kuikomboa Tanzania kutoka mikononi mwa hawa manyang'au yaliyokamata dola hakuna haja ya kugombea fito, mchango wowote ule utakaofanikisha harakati hizo is welcome. Ukawa imeonesha njia kwa kujenga msingi, ACT kama ina uchungu kweli na taifa linakoelekea nasema please join the band wagon.
Press conference aliifanya Tibaijuka,na bado akanya boga vilevile.
Kati ya watu vichwa maji wewe unaongoza. Official procedures zinaenda in writings, wewe unadhani spika atapokea na kuikubali barua ya kujiondoa ubunge ya zitto kwa kiambatanisho cha sauti ya Tundu Lissu? hebu tumia akili uliyopewa kufikiria, you can do a lot better than that with your head.Mkuu umekariri kwamba ushahid lazima uwe wa maandishi, hata sauti na video za Tundu Lisu pia zinaweza kutumika kama ushahid
unafiki wa magazeti,eti Zito kamwaga mboga.kana kwamba kaondoka juzi Cdm,kana kwamba kaondoka na si kuondoshwa.Funny...
Vichwa vya Chadema kina Mbowe, Lema na Afande Sele? kumbe hotuba ya Zitto tayari unayo Zitto anawakandia Chadema siyo anasemaje ebu tupe dondoo kuduchu.Eti nini? Zitto kaitisha Press Conference? Duh, yaani siyo ACT iliyoitisha Press Conference bali Zitto! How and why? Maybe I am missing something here...je kaitisha hiyo Press Conference kama nani? Jamani tukubali tusikubali, Chadema ina vichwa na intelligence yao lazima ni kiboko! Hebu fikiria kama hii Press Conference ingeitishwa kabla ya kutimuliwa...si ingekuwa balaa kwa Chadema! Hii ingekuwa sawa na katoto kupakatwa na baba halafu kanamnyea baba bila baba kugutuka kwamba katoto kake kanasokotwa tumbo. Bila shaka ni juu ya baba kugutuka mapema na kukawahi katoto msalani kasichafue hali ya hewa.
Lakini hata tukiacha hili; Chadema imemtema Zitto na haraka haraka ACT ikampokea, je hapa tunapata somo gani na tutegemee nini hiyo kesho? Kama lengo la kuwaita waandishi wa habari ni kuikandia Chadema, namshauri Zitto achukue tahadhari kubwa, kauli zake zinaweza zikawa na madhara kwake kuliko Chadema. Kudai demokrasia nchini imekuwa na gharama kubwa na wapo watu wameathirika kimwili na kiafya katika harakati zao za kupambana na chama tawala, CCM na wanazo alama za michubuko na makovu. Kwa hali tofauti kabisa yeye alibahatika kulikwepa tanuru walopitia wenzake bila kuathirika.
Zitto, amefanya maamuzi na bila shaka ni baada ya kutafakari kwa kina na kuridhika kuwa hakuna njia nyingine ya kuutumikia Umma zaidi ya hiyo aliyoichukua. Namtakia kila la heri katika safari yake mpya na kama walivyosema wahenga, mwisho wa safari moja ndio mwanzo wa safari nyingine. Katika vita ya kuikomboa Tanzania kutoka mikononi mwa hawa manyang'au yaliyokamata dola hakuna haja ya kugombea fito, mchango wowote ule utakaofanikisha harakati hizo is welcome. Ukawa imeonesha njia kwa kujenga msingi, ACT kama ina uchungu kweli na taifa linakoelekea nasema please join the band wagon.
Leo utasema yote kamanda nasikia Ufipa pamechafuka.Asante sana mzee stanlthecreator, hizo dalili zake tuliziona toka mwaka 2007 na kama ungekuwa unafuatilia mijadala iliyokuwa ikiendelea humu JF nyakati hizo, ungeniomba radhi! Lakini ndio hivyo tena nchi haina dira, vijana hawana adabu kwa wazee wao kwani maadili yametupwa dirishani na uongozi upo upo tu. Naomba tu usinishambulie kama alivyofanyiwa Mh. Jaji Warioba; naambiwa kijana aliyemzaba mzee wa watu makofi kaukwaa Ukuu wa Wilaya! Sijui wewe utaambulia nini!
Zitto tuko naye toka 2007, muda wa miaka kumi! Kama ndio anaanza leo kumbe bado anayo safari ndefu! Je unayo habari aliwahi kususa kuingia JF? Je unayo habari aliwahi kuwaomba wana JF radhi kwa matamko yasiyo ya staha? Unajua kuna wakati alitaka hata kususia Ubunge na kurudi kukamata chaki? Hayo tuyaache kwani kulingana nawe mzee, Zitto ndo kwanza anaanza...!
Mwaka huu 2014? Mbona kachelewa sana? Hivi kweli unawajua unaowasiliana nao humu JF...mm, naona umejiunga mwaka jana mwezi wa Januari! Kuna mengi huyajui. Alichelewa kidogo tu...angeondoka mapema labda angesevu kaheshima kadogo lakini ukweli mchungu ni kwamba katimuliwa (shown the door) na hiyo sifa haivuiliki, itamganda maishani!
Qur'an 5:51~52Hiyo ni kawaida ya Zitto! Usishangae kesho ukaambiwa press conference imeahirishwa! Zitto ni mafua!!
Dr Mbowe na Dr Slaa ni maadui wakubwa wa demokrasia Tanzania
Akufuzaye hakwambii toka. TL keshasema ZZK si mwanachama wa CDM; Abakie afanye nini?Huyu kijana ana matatizo. Sijaona umuhumu wa hizi hotuba mara waraka wake wakati hana ushahidi wa kimaandishi wa kufutwa chama. Ana haraka gani, si asubiri apewe barua ya mkufukuza? Sasa ana aga hadi bungeni wakati hakuna ushahidi wa kimaandishi kuwa kafutwa chama, ni nini maana yake? Aliyemshauri kampoteza.