Sukari Yenu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 1,698
- 1,253
We huna fact, fanya uchunguz kwanza wa hayo madhehebu ndio uje na hoja hapa. Waislam wana madhehebu makuu ya Shia na Sunni. 99% ya Waislam wa Africa Mashariki ni Sunni. Kwa mfano hapa Dar misikiti ya Shia inahesabika. Hiyo misikiti mingi mtaa mmoja ni kawaida tu na wala sio madhehebu. Hata wale wavaa surual nusu na wafuga ndevu (answar sunni) wanaweza kusali misikiti ya kawaida lakini ni vigumu kwa muislam wa kawaida kusali kwa wale wa answari sunni ndio maana waweza kukwambia dhehebu tofauti lakini kiuhalisia wote wamoja.
Na makanisa ni kitu cha kawaida tu, uliona wapi Mkatoliki akasali Anglikana, TAG au FPCT? Ni lazima watofautiane tu hawawez kusali pamoja.
Twende upande wa pili, mbona sinza kila sehemu bar? Guest house na lodge hujashangaa huko. Labda nikuulize, lengo lako hasa lilikua kuchunguza nini?