Msaada: Nataka nikatafute maisha, nchi za kiarabu, maisha yakoje wa Non-Muslims?

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
19,617
34,062
Kwa sisi tusio wa imani hiyo (Ya Kiislamu) maisha yakoje, Ninaweza kutoka kweli? Mwenye uzoefu msaada tafadhali.
 
Hawachagui dini kama umepata kazi nenda maisha ni kila mahali wapo wazungu na mataifa mengi ila heshimu katiba na misingi yao ya maisha kwani hata hata hapa wanaokuja huuliza swali hilo hilo.
Fuata kinachokupeleka usidanganyike na kashfa kumbuka wanawajali sana foreigners na kuwaheshimu kama utajiheshimu
 
Kwa sisi tusio wa imani hiyo(Ya Kiislamu) maisha yakoje,Ninaweza kutoka kweli.Mwenye Uzoefu msaada Tafadhali.
Mkuu, kwanza nianze kukufahamisha kuwa mimi si mwislam na nimekaa madinna miaka 4 hadi nilipoamua mwenyewe kurudi tz. Nachoweza kukushauri ni kwamba; iwapo una profession yako, waarabu watakuheshimu sana na utafanya nao kazi bila tatizo lolote. Lakini iwapo unatafuta kazi za mtemvu (u-house boy), unaweza ukaona maisha ni magumu sana kwako.

Iwapo utaenda huko hata kama una profession yako au vinginevyo, jitahidi usiingilie mambo ya dini yao au kwa kuikashifu au kwa kuwashawishi watu waachane nayo. Waarabu wanapenda sana dini yao na wanaweza kukufanyia kitu mbaya ukionekana unaleta upinzani. Otherwise ni watu wenye upendo bila kujali dini ya mtu.
 
Kazi za abass mtemvu uhuni mtupu kama jamaa alivyosema kama una fani waweza kupata ajili ila kama ni hizi za kusafisha vumbi na vyombo utajuta utaona nafuu hata ya kuuza karanga wasaalam
 
Nina kesi mbili za hatari walizofanyia watu walipelekwa uko dubai na mtemvu ila wacha na ww uende labda bahati yako itakuwa nzuri
 
Kuna msomali na mbagladesh na mghana wa kaskazin wote waislam tunabeba nao boksi hapa Denmark. Wanasema mzungu ni mtu bwana. Walishafanya kazi middle east huyu mghana na mpakistan saudia na msomali Qatar na dubai. Wanasema mateso na manyanyaso waliyopata kutoka kutoka kwa waarab hawatasahau licha ya uislam wao. Licha yautajir walionao waarab wa hiz nch mshahara waliokuwa wanapewa mdogo kazi nine nakufanyishwa kama mtumwa. Kwa ufup uwe muislam ama siyo jua ukienda huko wewe ni mtumwa. Ingia youtube ama ugoogle uone haya manafik yanavyotesa waislam wenzao kutoka nchi maskin. Njoo nchi za wakristo huku u one wasomali wairaq wakurd wabosnia na waislam wanavyoish kama pepon wengi wao tena bure
 
Mkuu, kwanza nianze kukufahamisha kuwa mimi si mwislam na nimekaa madinna miaka 4 hadi nilipoamua mwenyewe kurudi tz. Nachoweza kukushauri ni kwamba; iwapo una profession yako, waarabu watakuheshimu sana na utafanya nao kazi bila tatizo lolote. Lakini iwapo unatafuta kazi za mtemvu (u-house boy), unaweza ukaona maisha ni magumu sana kwako.

Iwapo utaenda huko hata kama una profession yako au vinginevyo, jitahidi usiingilie mambo ya dini yao au kwa kuikashifu au kwa kuwashawishi watu waachane nayo. Waarabu wanapenda sana dini yao na wanaweza kukufanyia kitu mbaya ukionekana unaleta upinzani. Otherwise ni watu wenye upendo bila kujali dini ya mtu.
hamna kitu kama hicho bana. Ole wako walioteseka huko wakujue.
 
Waarabu Si Binadamu Wa Kawaida,ni Bora Ukae Tanzania Tu Kama Umekosa Nchi Ya Kwenda,hapa Tanzania Ukiwa Na Akili Kabisa,hata Mtaji Wa Laki 5 Tu Unakutoa Kimaisha,epuka Bia,nyama Choma Na Waogope Kina Masai Dada,misschagga,preta,tinnacute,neggirl,ladyfurahia,faizafoxy,salamajay,hapa I Mean Waogope Wanawake Na Starehe Zote Kama Unataka Mafanikio Ya Kweli.
 
Muone abass mtemvu mbunge wa temeke atakusaidia sana tena sana kwanza bado umri unakuruhusu kufanya ajira za mtemvu

Mkuu, kwanza nianze kukufahamisha kuwa mimi si mwislam na nimekaa madinna miaka 4 hadi nilipoamua mwenyewe kurudi tz. Nachoweza kukushauri ni kwamba; iwapo una profession yako, waarabu watakuheshimu sana na utafanya nao kazi bila tatizo lolote. Lakini iwapo unatafuta kazi za mtemvu (u-house boy), unaweza ukaona maisha ni magumu sana kwako.

Iwapo utaenda huko hata kama una profession yako au vinginevyo, jitahidi usiingilie mambo ya dini yao au kwa kuikashifu au kwa kuwashawishi watu waachane nayo. Waarabu wanapenda sana dini yao na wanaweza kukufanyia kitu mbaya ukionekana unaleta upinzani. Otherwise ni watu wenye upendo bila kujali dini ya mtu.

Kazi za abass mtemvu uhuni mtupu kama jamaa alivyosema kama una fani waweza kupata ajili ila kama ni hizi za kusafisha vumbi na vyombo utajuta utaona nafuu hata ya kuuza karanga wasaalam

Wakuu naomba kufahamishwa kazi za Abbas Mtemvu ndo zipi hizo?
 
Ni kazi za hali ya chini ( blue collar jobs) ambazo huyo bwana Mtemvu anazitafuta huko uarabuni kupitia kampuni yake (nimeisahau jina) halafu anawatafuta wabongo wasio na kazi hapa na kuwapeleka huko kuzifanya. Kazi zenyewe ni kama shamba boy, house boy, house girl,gardener na zinazofanana na hizo.
 
Kuna msomali na mbagladesh na mghana wa kaskazin wote waislam tunabeba nao boksi hapa Denmark. Wanasema mzungu ni mtu bwana. Walishafanya kazi middle east huyu mghana na mpakistan saudia na msomali Qatar na dubai. Wanasema mateso na manyanyaso waliyopata kutoka kutoka kwa waarab hawatasahau licha ya uislam wao. Licha yautajir walionao waarab wa hiz nch mshahara waliokuwa wanapewa mdogo kazi nine nakufanyishwa kama mtumwa. Kwa ufup uwe muislam ama siyo jua ukienda huko wewe ni mtumwa. Ingia youtube ama ugoogle uone haya manafik yanavyotesa waislam wenzao kutoka nchi maskin. Njoo nchi za wakristo huku u one wasomali wairaq wakurd wabosnia na waislam wanavyoish kama pepon wengi wao tena bure
How to start there in Dennmark
 
Jamani maisha ni nyumbani kwako.Nje ya hapo ni utumwa mtupu! Niliishi Ujerumani kazi yangu nzuri tuu,Lakini ubaguzi nilioambulia utamu wa hiyo pesa ulikuwa haupo.Nikahamia Washington DC pale Maryland,Nikawakuta wabongo wenzangu wabeba mabox wakasema maisha ni bam bam huku!!.Kumbe wahuni wa Unga Limited! Nako ubaguzi kama kazi kila kukicha mtu mweusi ni kibaka tuu ,Hapo nikasema kwa wazungu sitaki kusikia .Nikaja Afrika kwa weusi wenzangu huko kwa Babu Mugabe yaani Harare nikachapa kazi za UN kidogo wazawa wakaanza kunipiga vita,majungu,fitina na ubaguzi wa uzawa, vipi huyu wa kuja anashika nafasi katika nchi yetu.....Duu Mungu jalia nikahamishiwa Malawi ndoo balaa kabisaa hata maskini wenzetu ni taabu afadhali ya wazungu.Tangu nirejee Bongo naheshimika nathaminika na kukubalika,sibaguliwi kwa rangi wala dini.Nyumbani ni nyumbani tuu hat a kuwe pangoni ni kuzuri tuu.Acheni kudanganyika ughaibuni, nendeni matembezi tuu na kurudi lakini kuishi kwa kupata full life....oooooh tafuta hapa hapa nyumbani
 
Nimakaa na wairan na kufanya nao kaz kwa zaid ya mwaka mmoja uholanzi.. Nilikuwa kwenye project ambayo mm peke yangu nilikuwa toka africa na wao watano toka iran... Kwa mwaka nliokaa nao nilijifunza kitu toka kwao, walikuwa huru, wenye amani na furaha wakiwa pale, na hakuna mmoja wao aliyetamana kurudi nyumbani baada ya project... Tuliongea mengi juu ya kwao, wanapenda dini na ustaarabu wa kwao lakin kwa ajili ya taratibu flan flan za kidin nchini mwao walikuwa wanakosa uhuru ambao waliupata pale amsterdam.. So nadhan kama wao wazawa walikuwa hivi, unaweza kuhisi kwa ww mgeni itakuwaje ukienda nchi za ustaarabu huo
 
Back
Top Bottom