M makubazi JF-Expert Member Feb 15, 2013 2,047 362 May 16, 2015 #2 Tunaweza kutengeneza lakini jina la hiyo gari itakuwa la Azam car
Elli Platinum Member Mar 17, 2008 55,519 86,066 May 16, 2015 #3 Kwakweli niliumia sana juzi kukuta hata condom zimeingizwa toka nje!!!
S Song'ito JF-Expert Member Oct 4, 2011 348 147 May 16, 2015 #4 nini condom kiongozi elli, toothpick zinatoka china wakati mbao mufindi zipo...
N Ndinani JF-Expert Member Aug 29, 2010 6,938 3,825 May 16, 2015 #5 Ili tuendelee tunahitaji uongozi bora!!!
M mangatara JF-Expert Member Jul 6, 2012 14,517 14,135 May 16, 2015 #6 Nakubali mkuu, shilingi lazima ipande tu