Kuna mtu anaponesha kwa maji mkuranga anaitwa sokwe je huyu mtu ana ukweli kiasi Gani

Mtapigwa mpaka mchakae.
Sijawahi kuhudhuria kwa watu wa dizaini hii lkn siwalaumu watu wanaoenda.

Mkuu Kuna watu Wana matatizo hapa duniani na wapo tyr kufanya lolote.Mtu anapagawa kiasi kwamba hata umwambie ili upone kuanzia leo inabidi uwe unalala chooni wapo tayari!! Nini maji?

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Sahihi kabisa
Ukiwa mzima huwezi yajua yanayomfika mgonjwa,
Niliuguza marehemu Baba yangu hadi alipofariki, terminally ill alikula kila tulichoambiwa ni dawa , wakati mwingine kwa siri ili dokta wake asijue, siku za mwisho alikuwa ni mtu alitekata tamaa kabisa na maisha , ila bado alioneaha nidhamu ya juu kutuamini watoto wake .
 
Kumbe navuma Sana??. Karibu kijana una kisukari, bawasiri, tatizo la nguvu za kiume, maisha nayarahisisha na bete ya bahati, ngekewa na ajira unapata. Pia natibu ngendembwe. KARIBU SANA
 
Hamna kitu. Nimempeleka mwanangu miezi minne iliyopita akapewa maji na kushikwa na kuombewa na sokwe mwenyewe, bado tulitoka bilabila
 
Back
Top Bottom