Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
mnashangaza sana nyie mijusi. zitto siameshaondoka chadema? hizi porojo zote zanini tena? fanyeni yenu muacheni na zitto afanye yake.
Nani anamfuatilia mwenzake kama siyo wafuasi wa zzk na act kuendelea kuiandama cdm utadhani cdm ndio chama tawala?Hii inajionyesha kuwa act haina lengo la kuing'oa ccm madarakani bali ni kudhoofisha upinzani ili ccm iendelee kutawala milele kwa kuhujumu matumaini ya watanzania