Ombi kwa Jeshi la Polisi: Zuieni maandamano ya CCM kesho

Kilaza

JF-Expert Member
Feb 28, 2013
3,324
1,377
wakuu

tutakumbaka wiki hii jeshi la polisi lilizuia maandamano ya chama cha wananchi CUF na kuwapiga na kuwadhalilisha vibaya viongozi na wanachama wa cuf vurugu hizo zilizoratibiwa na jeshi la polisi kwa maagizo "kutoka juu" ziliacha madhara makubwa sana

Moja ya sababu walizotoa jeshi la polisi ni kuwa kulikuwa kuna tishio la "Ugaidi" kutokana na silaha zilizoibiwa huko ikwiriri hivyo kwa taarifa nilizonazo mpaka sasa silaha hizo hazijapatikana hivyo tishio la "Ugaidi" bado lipo

nadhani pamoja na tishio hilo la ugaidi na sababu nyingine walizozitumia kuzuia maandamano ya CUF ni matumaini yangu kuwa watazitumia sababu hizohizo kuzuia maandamano ya Ccm kesho huko songea

jeshi la polisi lisipozuia maandamano ya ccm kesho ni wazi kuwa jeshi hilo linatumika kwa maslahi ya wachache

we need double standards

Tanzania police reform must be part of
our national agenda.

Tunahitaji jeshi linalotoa huduma(Police
Service).

Urgent steps are required to render the
police force professionally
competent,Operationally
neutral,Funcionally Cohesive and
organizationally responsible for all of its
actions

professor kilaza
 
Tahadhari; Songea ndipo wanapowalipua polisi kwa mabomu,tuone kama Chagonja atatumia sababu ya ugaidi kuzuia maandamano hayo!
 
Hlo kesho halitatokea songea... Sana sana watapewa difenda na askari wa kutosha kiwasindikiza na kulinda mkutano wao... Kuwatenganisha polisi na ccm ni kama kujaribu kutenganisha maziwa yaloyoyachanyikana na tui la nazi... Aslan haiwezekani!!
Polisi wana chuki na siasa zozote za upinzani.. Yaani kama una msala wowote kwako saizi na unahitaji msaada wa polisi we piga 911 halafu sema kuna maandamano ya cuf au chadema... Utapata msaada wa difenda za kutosha.. Lakini ukisema eti jambazi kaja imekula kwako!!
 
wakuu

tutakumbaka wiki hii jeshi la polisi lilizuia maandamano ya chama cha wananchi CUF na kuwapiga na kuwadhalilisha vibaya viongozi na wanachama wa cuf vurugu hizo zilizoratibiwa na jeshi la polisi kwa maagizo "kutoka juu" ziliacha madhara makubwa sana

Moja ya sababu walizotoa jeshi la polisi ni kuwa kulikuwa kuna tishio la "Ugaidi" kutokana na silaha zilizoibiwa huko ikwiriri hivyo kwa taarifa nilizonazo mpaka sasa silaha hizo hazijapatikana hivyo tishio la "Ugaidi" bado lipo

nadhani pamoja na tishio hilo la ugaidi na sababu nyingine walizozitumia kuzuia maandamano ya CUF ni matumaini yangu kuwa watazitumia sababu hizohizo kuzuia maandamano ya Ccm kesho huko songea

jeshi la polisi lisipozuia maandamano ya ccm kesho ni wazi kuwa jeshi hilo linatumika kwa maslahi ya wachache

we need double standards

Tanzania police reform must be part of
our national agenda.

Tunahitaji jeshi linalotoa huduma(Police
Service).

Urgent steps are required to render the
police force professionally
competent,Operationally
neutral,Funcionally Cohesive and
organizationally responsible for all of its
actions

professor kilaza

Mkuu baba yako ni baba yako tu hata kama atakuwa chizi, mlemavu, mwizi, n.k. usitegemee polisi wazuie maandamo ya mzazi wao kamwe. Inauma sana lakini ndo hivo tena wafanyeje...!!!!
 
wakuu

tutakumbaka wiki hii jeshi la polisi lilizuia maandamano ya chama cha wananchi CUF na kuwapiga na kuwadhalilisha vibaya viongozi na wanachama wa cuf vurugu hizo zilizoratibiwa na jeshi la polisi kwa maagizo "kutoka juu" ziliacha madhara makubwa sana

Moja ya sababu walizotoa jeshi la polisi ni kuwa kulikuwa kuna tishio la "Ugaidi" kutokana na silaha zilizoibiwa huko ikwiriri hivyo kwa taarifa nilizonazo mpaka sasa silaha hizo hazijapatikana hivyo tishio la "Ugaidi" bado lipo

nadhani pamoja na tishio hilo la ugaidi na sababu nyingine walizozitumia kuzuia maandamano ya CUF ni matumaini yangu kuwa watazitumia sababu hizohizo kuzuia maandamano ya Ccm kesho huko songea

jeshi la polisi lisipozuia maandamano ya ccm kesho ni wazi kuwa jeshi hilo linatumika kwa maslahi ya wachache

we need double standards

Tanzania police reform must be part of
our national agenda.

Tunahitaji jeshi linalotoa huduma(Police
Service).

Urgent steps are required to render the
police force professionally
competent,Operationally
neutral,Funcionally Cohesive and
organizationally responsible for all of its
actions

professor kilaza

Tena kwa kuongezea, check point ya kuzitafuta iliopo kongowe wamekosa mpaka leo, na mbele ya ikwilili nayo imekosa, nidhahiri bunduki zimeelekea njia ya lindi to songea kwahiyo ni busara jeshi la police kuzui maandamano hayo, kwani dar mpaka leo hakuna madhara.
 
CCM chama tawala tutafanya maandamano hata hao polisi ni CCM jumla
 
Si vibaya kuota ndoto jamani. Miye nimeota Chagonja katoa amri maandamano yasiwepo kwa sababu dhahiri kabisa kabisa, kwamba intelijensia imesema; Huko Songea ndo magaidi wamekaa tayari, kwanza walisha onesha mfano wakamuumiza askari wa Chagonja. Sijui ka katoka hospitali au naye alipewa shs 10.000/=??? Pili; Hawa wa Tz wanakumbuka ni juzi tuu m/kiti wa CUF kadundwa kwa kutotii maagizo ya Polisi kutokuandamana. Sasa, JK naye asipotii Polisi, si watamdunda na yeye? Au kuna m/kiti zaidi ya mwingine?
Nadhani namuunga mkono Chagonja kuzuia maandamano hayo ya kesho. Labda kama hayupo nchini.
 
Back
Top Bottom