Search results

  1. pangakali 2

    Wadudu wanaofukua udongo

    Habarini wanajamvi. Nimekua nikisumbuliwa na wadudu wanaofukua udongo na kutengeneza mashimo kiasi ambacho jiran yangu ukuta wa nyumba yake umebomoka kwa kutitia, maana wale wadudu wanafukua chini kwa chini. Mwenye Suruhisho la tiba ya jinsi ya kuwadhibiti hao wadudu anisaidie plz kabla...
  2. pangakali 2

    Car4Sale Toyota Corolla Rumion For Sale

    TOYOTA COROLLA RUMION Color: BLACK Mileage: 58800 km Steering: Right Transmission: AT General Fuel: GASOLINE Drive System; 2WD Doors: 5DD Displacement: 1490cc CIF PRICE; 16 m Music system: Android Contact: +255755906255 Whatsp
  3. pangakali 2

    Bei ya mti wa mnazi

    Wakubwa habari za majukum. Kumekuwa na mgogoro mkubwa kwa majirani zangu ambao wanagombania mti wa mnazi mkubwa ambao ulikua unauwezo wa kuzalisha nazi. Jirani mmoja kati yao akaamua kuukata huo mnazi mwisho wa jirani wa pili amefika na kugundua kuwa mti wa mnazi umekatwa na kuzua taharuki ya...
  4. pangakali 2

    Ugonjwa wa madonda koo (Tonsels)

    Nawasalim ktk jina la jamuhuri. Binafsi nimekua na tatizo la kupatwa madonda ya kooni (tonsels) kwa muda mrefu sasa na hutokea pale ninapotumia vinywaji baridi wakati mwingine hunipelekesha hadi kupatwa homa. Haijaishia kwangu, wanangu pia imekua changamoto sana wakinywa vitu vya baridi...
  5. pangakali 2

    Folen ya magari ambayo imevunja rekod kwangu

    Members itifaki imezingatiwa . Safar yangu ya leo imekua na changamoto sana nikiwa natokea Dodoma - Dsm. Maeneo ya mbele kidgo kijiji cha mbande kulikuwa na ajali tukapata njia ya kuzunguka na kufanikiwa kukwepa lile eneo ambalo lilikuwa na msongamano wa magari. Safar yangu niliondoka Dom mida...
  6. pangakali 2

    Ufugaji wa mbwa na chakula chake

    Habari za majukumu wanajamvi, Mbwa wangu wamekua na changamoto ya kupoteza afya ikiambatana kunyonyoka manyoya na kupoteza uwezo wa kuona kufikia hatua hadi anajigonga sehem kwa kutoona. Kuna baadhi ya watu wamenambia hawa mbwa aina ya GS ukiwalisha dagaa hio ndio athari yake. Swali langu je...
  7. pangakali 2

    Magari yanayotumia gesi

    Habari Wakuuu. Hivi karibuni nimeshuhudia magari makubwa kwa madogo yakiwa yamebafirishiwa mfumo wa engine badala ya kutumia diesel/ petrol na kifungiwa mtungi/mitungi ya gas. Swali langu naomba kujua faida na hasara zake na ushauri kwa ujumla. Ili panapo majaaliwa na mm nikishawishika...
  8. pangakali 2

    Hitajio la kiwanja

    Habari wana jukwaa. Ninahitaji kiwanja cha makazi DSM eneo laweza kuwa kuanzia Kimara hadi Standi mpya ya Maili Moja Kibaha umbali kutoka Barabara ya Morogoro usizidi kilometer moja.
  9. pangakali 2

    Mwenye Macho haambiwi tazama

    Habarini za majukumu wanajamii, kupitia hii habari ya Rais wa Rwanda kaumua kuyafungia huduma zaidi ya makanisa 6000 , hii ni kutokana na kuongezeka kwa watu wanaojificha katika dini mbalimbali kwa ajili ya kujipatia kipato. Kitu ambacho kinazidi kushika kasi katika nchi zetu. Nini zaidi...
  10. pangakali 2

    Shule nzuri ya Kiislam kwa mtoto wa kike (boarding)

    Habari za kutwa Wazee wa jukwaa. Ninaomba kwa anaye faham shule nzuri ya kiislam kwa mtoto wa kike. Mwanangu anategemea kuanza darasa la kwanza mwakani panapo majaaliwa. Nimefikiria swala la kumpeleka boarding school kwa shule za Kiislam ili akapate elim dunia na akhera. Napendelea sana eneo...
  11. pangakali 2

    TANZIA MwanaJF mwenzetu Ramaa Tech afariki dunia kwa ajali ya pikipiki

    Habari wana jukwaa. Nasikitika kutangaza kifo cha member mwenzetu kwa jina Ramaa Tech. Kijana aliyekuwa anajishughulisha na mambo ya graphics designing amefarika jana kwa ajali ya pikipiki. Niliongea nae saa 15:00 saa 18 napata taarifa kuwa amefariki kijana alikua anajituma sana katika shughuli...
  12. pangakali 2

    Rafiki yangu anataka kuoa bikra

    Itifaki imezingatiwa, Nisiwachoshe, niende moja kwa moja kwenye mada. Rafiki yangu wa karibu amekua mzito wa kuoa kwa madai kwamba alishajiwekea dhamira ya kuoa bikra, huu ni mwaka wa 5 bado anatafuta alianzia Mwanza, kaenda tanga na sasa yupo Zanzibar. Mwaka jana alinitambulisha mchumba wake...
  13. pangakali 2

    Nini athari za kuongea na 'video call' kwa mtoto mdogo?

    Habari za uzima wadau. Yapata mwaka mmoja tokea nimesafiri na kua mbali na familia yangu. Mara nyingi tumekuwa tukiwasiliana na mke wangu kwa njia ya video call. Mwanangu amekuwa akipenda sana kuniona kupitia video call kila ninapoongea na mama na yeye analilia. Point ya msingi mwanangu...
  14. pangakali 2

    Ushauri: Ana mgogoro wa muda mrefu na jirani yake

    Habari wana jamvi, jamaa amekua na mvutano wa muda mrefu na jiran yake juu ya mipaka yao ya viwanja. Kutokana na mvutano huo jamaa kaamua kujenga fensi mwisho wa kiwanja chake. Je ni sahihi kwa maamuzi haya kama inavyoonekana katika picha hizi?
  15. pangakali 2

    Hali ya maisha na changamoto zake

    Habari wakuu. Kwa upande wangu kila siku zinavyozidi kwenda mbele mambo yanazidi kua magumu, changamoto za kimaisha zinaongezeka, biashara haziendi, pesa haikamatiki. Ninachokipata kwa sasa hata kodi ya meza imekua shida. Siku zingine najifanya nimesahau pesa ya matumizi nyumbani, nakuwa sina...
  16. pangakali 2

    Kushamiri kwa wizi wa simu madukani

    Habarini wakuu, Mimi ni miongoni mwa wajasiliamali wadogo wadogo. Kazi za kijungu jiko. Leo imetokea mdada wangu wa kazi akiwa kwenye kijistationary chetu. Alikuja kijana akijifanya anahitaji huduma ya passport size. Alivyomaliza kumpiga picha akamwambia anahitaji na karatasi plain paper idadi...
  17. pangakali 2

    Tofauti ya makato kati ya kutoa pesa kwa mawakala na kutoa kwenye ATM

    Kuendelea kukua kwa teknolojia kumeleta chachu na kupunguza baadhi za adha tulizokuwa tunazipata enzi hizo ilikuwa ikifika mwisho wa mwezi kwenye ATM mashine unakuta kumefurika watu balaa. Kwa sasa kuna mawakala wengi mtaani kwa kweli wametuepusha na mengi japo nao wana changamoto zake...
  18. pangakali 2

    Mara ya kwanza kumiliki simu yako binafsi ya mkononi

    Habarini za asubuh wakuu. Tukumbuke nyuma kidogo. Nakumbuka mara yangu ya kwanza kumiliki simu ilikua mwaka 1999 nilikua mwanza nikiwa kwenye daladala mara pap naona simu kwenye siti tulivyofika nyakato nikawa wa mwisho kushuka jasho linanitoka balaa. Nikawaza kuitangaza nikaona itakua halali...
  19. pangakali 2

    Kila palipo na maendeleo mwanamke yupo nyuma yake

    Habarini wakuu nimekuwa nikisikia kuwa kila palipo na maendeleo kwa maana ya kimaisha lazima kuna nguvu kubwa ya mwanamke katika mafanikio yako imechangia kwa namna moja au nyingine. Swali langu: Mwanamke anayezungumziwa hapa ni mke, mama mzazi au nani hasa?
  20. pangakali 2

    Naomba kujua namna ya kumhamisha shule mwanafunzi wa sekondari

    Habar za jioni wakuu. Nina mdogo wangu amehitimu darasa la saba mwaka huu shule msingi iliyopo Wilaya ya Kahama na amefaulu. Malengo yangu nataka kumuombea uhamisho ili aje asome Dar es salaam. Maana najua selection zitakapokuwa zimetoka hawezi kuchaguliwa shule za mbali kutokana na ongezeko...
Back
Top Bottom