Rafiki yangu anataka kuoa bikra

pangakali 2

JF-Expert Member
Aug 9, 2019
238
220
Itifaki imezingatiwa,

Nisiwachoshe, niende moja kwa moja kwenye mada. Rafiki yangu wa karibu amekua mzito wa kuoa kwa madai kwamba alishajiwekea dhamira ya kuoa bikra, huu ni mwaka wa 5 bado anatafuta alianzia Mwanza, kaenda tanga na sasa yupo Zanzibar.

Mwaka jana alinitambulisha mchumba wake kwamba anashukuru ndoto zake zimetimia kwani amempata aliyekuwa anamtafuta kwa muda mrefu. Nikampa hongera na kumshauri ni bora atembee nae kama ni bikra bora aishuhudie mwenyewe asije uziwa mbuzi kwenye gunia ni binti mzuri kwa muonekano akiwa na umri wa miaka 27.

Cha ajabu binti hataki kabisa habari hizo anataka waje wafanye hio shughuli siku ya fungate. Jamaa naye ameanza kustuka na kuwa na waswasi na bint ilikua akalipe mahali wiki iliyopita naona kaghairi. Ushauri kwake tafadhari ninaamini nitapata mawazo mazuri ambayo yatamfanya jamaa angu asije kujutia maisha yake ya baadae.
 
Hapo kila mtu abaki na msimamo wake

Bidada anayedai ni bikra anataka sex baada ya ndoa
Rafiki yako anataka kuoa bikra huku anataka kuonja kama ni bikra kweli

Teh!huyo dada ana akili kinyama
Aendelee kutunza bikra yake asije akaonjwa na ndoa asiipate
 
Hapo jamaa wakubaliane atest kwa kutumbukiza ikigomaa bhasi kweli Bikraa...!! Ikipenyaaa hamna kitu hapo.. Juzi kuna dogo limepitaa lote afu anajidai nimemchanaa...nyoooo fwalaa kabisaa
 
Nadhani waandikishane mkataba Tu. Bikra iwe ni Conditional precedent ya ndoa kuwepo. Pale ambapo itagundulika mke hakuwa na bikra, basi mkataba uwe voidable Kwa option ya Mwanaume, kuendelea au kutokuendelea na ndoa.
 
Hapo kila mtu abaki na msimamo wake

Bidada anayedai ni bikra anataka sex baada ya ndoa. Rafiki yako anataka kuoa bikra huku anataka kuonja kama ni bikra kweli.

Teh!huyo dada ana akili kinyama. Aendelee kutunza bikra yake asije akaonjwa na ndoa asiipate.
Ndoa uhakika kwa sababu jamaa umri unamtupa mkono 32 yrs now. Ila cha msingi anataka athibitishe kwanza kama yaliyomo yamo?
 
Zama hizi ukisema "bikra" inabidi uspecify ya wapi kwanza?

Let's meet at the top, cheers
Sio ile ya kichina au ya malimau ambayo hata mm niliwahi kukutana nayo halafu dem akawa mzoefu balaa siku hio hio nikaona nimeingizwa mjini na jamaa angu you stori anaifaham. Wakat mwingine ndio maana anasema isijekuwa kama ya kwako
 
Back
Top Bottom