Kila palipo na maendeleo mwanamke yupo nyuma yake

pangakali 2

Senior Member
Joined
Aug 9, 2019
Messages
126
Points
225

pangakali 2

Senior Member
Joined Aug 9, 2019
126 225
Habarini wakuu nimekuwa nikisikia kuwa kila palipo na maendeleo kwa maana ya kimaisha lazima kuna nguvu kubwa ya mwanamke katika mafanikio yako imechangia kwa namna moja au nyingine.

Swali langu: Mwanamke anayezungumziwa hapa ni mke, mama mzazi au nani hasa?
 

Wangari Maathai

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
22,509
Points
2,000

Wangari Maathai

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
22,509 2,000
Na wala sio mama? Kwa mfano umepewa mtaji na familia yako ili uanze biashara baada ya mafanikio hapo nan atakua amekushika mkono? Maana mara nyingi baba zetu wanakuwaga wazito sana had mama aongeze ushawish
Mbona unarudi kule kule..?ni mke kwa baba na ni mama kwangu
 

Forum statistics

Threads 1,381,731
Members 526,184
Posts 33,810,223
Top