pangakali 2
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 238
- 220
Habari za uzima wadau. Yapata mwaka mmoja tokea nimesafiri na kua mbali na familia yangu. Mara nyingi tumekuwa tukiwasiliana na mke wangu kwa njia ya video call. Mwanangu amekuwa akipenda sana kuniona kupitia video call kila ninapoongea na mama na yeye analilia.
Point ya msingi mwanangu ameathirika sana kiasi kwamba bila kuongea/kuchezea sim kupitia video call hasinzii analia hadi basi.
Je, nini madhara yake au nn ushauri wako kwangu?
Point ya msingi mwanangu ameathirika sana kiasi kwamba bila kuongea/kuchezea sim kupitia video call hasinzii analia hadi basi.
Je, nini madhara yake au nn ushauri wako kwangu?