Search results

  1. B

    Simba wameroga mpaka magoli ya Yanga leo

    Hii klabu ya Simba tangu zamani imeundwa kwa mifumo ya kishirikina shirikina, jana walitakiwa wafunge goli 3-0, nikiwa na maana ya yanga leo naye kushinda bao 4-0. Tatizo linaanza mchezo wa jana mipira miwili tu ndio ilihusika na kwa mara ya kwanza kwenye historia nimeona maajabu ya mpira...
  2. B

    Wachezaji hawa hawastahili kubaki Simba next season

    Kapombe, Zimbwe, Kagere, Mugalu, Onyango,Mhilu, kibu, Boko na Mzamiru Tunawatakia Kila La Kheri.
  3. B

    Utabiri: Kuna kipa atamaliza mzunguko wa kwanza bila kuruhusu goli; kuna timu haitapoteza mchezo ndani ya mzunguko pia

    Kuna kipa atamaliza mzunguko wa kwanza bila kuruhusu goli, pia kuna timu haitapoteza mchezo wowote ndani ya mzunguko huo Na ndio hiyo itakayobeba kombe Msiniulize ni timu gani.
  4. B

    Ukanda huu hakuna timu ya kuifunga yanga

    Sokaa safi mpaka unafurahi mwenyewe. Hongereni Khalid aucho, Fei toto kwa kazi nzuri.
  5. B

    Nyimbo zinazopatikana kwenye series za kikorea nitazipataje wakuu?

    Vile vianduje hakika wanafiti kila angle na mojawapo ni zile nyimbo zilizopo kwenye series zao hasa za love story. Naomba tuweke hapa nzuri ili nipate kuziweka kwa playlist yangu.
  6. B

    Ukweli na usemwe, simba msimu huu nafasi ya tatu kwenye ligi inawahusu

    Makolo tangu mechi ya kigoma na yanga hawawezi kushinda mpaka refa afanye mazingira ya kuwatoa wapinzani kwenye mchezo kwa kutoa kadi nyekundu, Makolo hawaamini kama timu yao Haina ubora tena wamebaki ni watu wa malalamiko. Niwambie tu enyi makolokolo a.k.a mbumbumbu fc kuwa kama Dodma FC...
  7. B

    Ditram Nchimbi, Zawadi Mauya, Adeyumu Saleh na Ninja hawana uwezo tena wa kuichezea Yanga

    Kama yanga tunataka ubingwa basi inatakiwa watafutwe mbadala wao, hawa wachezaji wametugalimu sana msimu uliopita kwa kutojituma na kukosa kontro . Kupitia mechi ya Leo dhidi ya kagera sugar wachezaji hao ukimtoa adeyumu walitaka kurudia makosa ambayo yalipelekea kuzidiwa kimbinu na Kagera...
  8. B

    Kwenye list ya mabondia bora duniani aliyomo Mwakinyo, why kina Paciao na Mayweather hawamo?

    Kwenye list ya mabondia bora duniani aliyomo mwakinyo, why kina paciao, froyd maywather hawamo? Kupitia jukwa hili, naamini majibu ntayapata
  9. B

    Naiona Yanga yangu ikibomoka vipande vipande baada ya mechi na Rivers Utd

    Chonde chonde viongozi wangu hasa GSM itilieni mkazo mechi hii na msipoanglia kwa umakini inaweza ikawa chanzo cha nyie kuondoka Yanga. Atleast yanga hiii inatakiwa kufika group stage caf champions leage.
  10. B

    Kwa Dickson Ambundo yanga imepata msuva mpya

    Hakika huyu jamaa ni mtu na nusu, msimu ujao itakuwa kipimo cha umri kwa baadhi ya mabeki wa timu zetu plus Kisinda Basi hapo mikia watanuna
  11. B

    Simba mbona hatujasajili mpaka sasa wakati Mo ameweka pesa? Yanga wanatunyang'anya mpaka wachezaji

    Kiufupi ule ubabe wa Yanga aka uto in dhahiri umerejea. Naona wengi sasa wanasimba tunawabeza lakini ukweli tusipoangalia hawa jamaa wanakuja kuchukua mafanikio yetu. Kumbuka tuna wachezaji umri umewatupa kama John Boco, Onyango wakipata injury tu basi tumekwisha msimu ujao.
  12. B

    Naishauri NIDA ifanye haya kuhusu vitambulisho vya uraia

    Kwanza nitoe pole kwa serikali hii ya awamu ya tano kwa kuendesha mchakato huo wa kuwaandikisha na kutoa vitambulisho, kwani waliufanya kwa kukurupuka Sana. Kuna mikoa kadha Kama Kigoma, Katavi, Tabora na Kagera mchakato umefanyika hovyo hovyo na kwa uharaka mno, wakati ilitakiwa mikoa hii iwe...
  13. B

    Tano bora ya mikoa inayoongoza kwa vipaji

    1Kigoma 2.Morogoro 3.Mbeya 4.Arusha 5.Tanga Wale jamaa wabaguzi watakuja kupinga eti na mkoa wait uwemo🤣🤣🤣
  14. B

    Wakimbizi mkoani katavi hawatapewa vitambulisho vya uraia, hiyo ni kwa mujibu wa rais wa wanyonge jpm

    Miongoni mwa sababu alizotoa ni kushamiri kwa vitendo vya kihalifu, vikihusisha ukabaji na wizi wa siraha. Sababu nyingine ni kutokana na wakimbizi hao kuwaleta na wenzao ambao hawakupewa uraia Hapo awali . Kwa mtazamo Wangu rais amefanya Jambo jema Sana kwani Hawa ndugu zetu wamekuwa siyo...
  15. B

    Kulala/kusinzia kulivyonikosesha mamilioni

    Habarini wote humu jamvini Nafanya kazi katika kampuni moja happy mjini(sitaitaja jina). Nimekuwa na tatizo la kulala toka saa 5 za usiku mpaka saa3,Hali inayonipelekea kuchelewa kazini mara kwa mara. Naombeni ushauri ni dawa gani ya kuzuia usingizi au ni hiki kitambi changu.
  16. B

    Naomba kukaribishwa wakuu hi

    Buhoro ksl ndio jina langu,Mimi no mgeni mpya kabisa ikiwa ni mara yangu ya Kwanza.....
Back
Top Bottom