Kulala/kusinzia kulivyonikosesha mamilioni

Kulala/kusinzia kulivyonikosesha mamilioni

buhoro ksl

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2019
Posts
248
Reaction score
247
Habarini wote humu jamvini

Nafanya kazi katika kampuni moja happy mjini(sitaitaja jina). Nimekuwa na tatizo la kulala toka saa 5 za usiku mpaka saa3,Hali inayonipelekea kuchelewa kazini mara kwa mara.

Naombeni ushauri ni dawa gani ya kuzuia usingizi au ni hiki kitambi changu.
 
Inaonekana kazi unazofanya ni ngumu ila muda unavyozidi kwenda utazoea tu mkuu
 
Habarini wote humu jamvini

Nafanya kazi katika kampuni moja happy mjini(sitaitaja jina). Nimekuwa na tatizo la kulala toka saa 5 za usiku mpaka saa3,Hali inayonipelekea kuchelewa kazini mara kwa mara.

Naombeni ushauri ni dawa gani ya kuzuia usingizi au ni hiki kitambi changu.
Aisee wewe ni mzembe. Kama unajua unatakiwa kuamka mapema asubuhi kwanini unakaa mpaka saa 5 usiku? Halafu huko kukosa mamilioni ni kuwa uliota unazo halafu ulipoamka ukakuta hazipo au ilikuwaje? Hujaelezea!
 
Inaonekana ilikuwa mtoto ma mama sana. Hata shuleni ulikuwa kilaza sababu ya kulala. Na ninahisi utakuwa kibonge kama lemutuz.

Ushauri wangu kuwa mtu wa mazoezi. Lala mepema acha kuangalia maseries au matamthilia. Punguza kuchat usiku. Weka alarm ya kukuamsha mapema. Na kama huna usafiri wa private nunua hata kipikipiki. Boxer au scooters. Itakusaidia kuwahi oficini.
 
Turne mda wako lala saa3 weka alam saa9 kujiandaa hadi kutoka was 10:30 pendelea kunywa kunywa kahawa asubuhi kabla ya kwenda kqzini na saa 4 asubuhi kunywa chai ambayo vitafunwa c vizito
 
Habarini wote humu jamvini

Nafanya kazi katika kampuni moja happy mjini(sitaitaja jina). Nimekuwa na tatizo la kulala toka saa 5 za usiku mpaka saa3,Hali inayonipelekea kuchelewa kazini mara kwa mara.

Naombeni ushauri ni dawa gani ya kuzuia usingizi au ni hiki kitambi changu.
Kumbe unajua!Acha kuzuga
IMG_20190428_092914_1.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom