Naishauri NIDA ifanye haya kuhusu vitambulisho vya uraia

buhoro ksl

JF-Expert Member
Apr 17, 2019
248
246
Kwanza nitoe pole kwa serikali hii ya awamu ya tano kwa kuendesha mchakato huo wa kuwaandikisha na kutoa vitambulisho, kwani waliufanya kwa kukurupuka Sana. Kuna mikoa kadha Kama Kigoma, Katavi, Tabora na Kagera mchakato umefanyika hovyo hovyo na kwa uharaka mno, wakati ilitakiwa mikoa hii iwe chini ya uangalizi wa Hali ya juu. Warundi, Watusi wamepata vitambulisho kirahisi Sana, sanasana mikoa ya Katavi na Tabora ambako Kuna makambi ya muda mrefu.

Je? Tunaandaa taifa la namna gani?, Unafikiria huko mbeleni watoto wa hao wakimbizi hawatapata kuwa viongozi na kuiuza nchi. Maana naamini mtoto wa mkimbizi ni mkimbizi.

Ningependa kutoa ushauri kwa NIDA jinsi inavyotakiwa ifanye.

Kwanza,
Kwa mkoa tajwa Hapo juu, naishauri serikali wapeleke vitambulisho vyote mkoani Kigoma, yaani vipelekwe kwa ofisi za kata kwa kila muhusika wa kata hiyo. Na kila anayechukua kitambulisho athibitishe kuwa yeye ni mzaliwa wa Kijiji na kata hiyo na awe anatambuliwa na mwenyekiti na balozi wa nyumba kumi. Kwa maana kuwa, hao warundi na watusi waliopata vitambulisho uchochoro wao uliofanya wapate vitambulisho walijaza ni wazaliwa wa Kigoma, kwahiyo serikali ikikataka kuwabaini itumie njia hiyo.


Kuwa mzalendo wa nchi yako.
 
Mbona kitambulisho cha mpiga kura ilikua unapewa palepale .Lakini NIDA sasa pamoja na kuwa umejaza fomu nyingi lakini bado tatizo ,ushauri wangu

Kama mtu ameleta nyaraka zote zinazomtambulisha kuwa yeye ni mtanzania basi apigwe picha na kupewa kitambulisho palepale kama ilivo kwa mpiga kura.tofauti na hivo watu watajenga kwa mgongo wa haya mavitambulisho ambayo kimsingi kwa huu utaratibu mbovu nachelewa kusema hayana maana kama mtu atafikia hatua ya kutoa pesa ili apate
 
Back
Top Bottom