Search results

  1. Samaki Nchanga

    Bei ya Mahindi 2024 itamnyanyua au itamnyanyasa Mkulima?

    Wakuu Habari? Katika Harakati za Kuongeza kipato Huu ni mwaka wa pili sasa Nimeingia kwenye kilimo Cha mahindi huku Ukanda wa Kusini mwa Tanzania. Lakini Kuna Jambo Naliona Zao hili lina Ukiritimba mwingi hasa kwenye Bei Nafikiri ndo maana Wakulima wengi wa Mahindi ni masikini Maan unalima...
  2. Samaki Nchanga

    Ni ipi channel yako bora kwenye king'amuzi cha DStv, Azam, Startimes, Zuku na Continental?

    Habari wakuu! Kuna zaidi ya channels 100 karibia katika kila King'amuzi Kwangu mimi mtumiaji wa DStv japo tunakosa uhondo wa channel za nyumbani lakini moja kati ya channel zangu Bora ni Maisha Magic East & Maisha Magic Bongo. Ukiondoa na chanel za michezo, basi utanikuta kwenye channel za...
  3. Samaki Nchanga

    Selous Fm 95.7: Kituo Kipya Cha Radio Songea Na Mapinduzi ya Tasnia ya Habari Mikoani

    Kwa wale wapenzi wa kuskiliza radio hivi karibuni Kama utatembelea Mkoa wa Ruvuma hasa mjini Songea Basi unaweza kufurahia uskivu murua wa kituo hiki kipya Cha radio. kwanza nawapongeza waanzilishi kwa uwekezaji mkubwa uliofanyika wengi tulizoea kukuta radio za mikoani zikiwa na vifaa duni...
  4. Samaki Nchanga

    Msaada kwa wajuzi wa Laptop

    Kuna PC yang HP Elitebook ile ya Fingerprint ina muda sijaitumia. Sasa juzi naiwasha inawaka vizuri kabisa tatizo ni keypads mpaka ulong press ndo inakubali yani ukibonya keypad inapiga kimlio flani hivi mpaka ubonyeze bila kuachia ndo herufi ina respond. Je, yaweza kuwa tatizo window nibadili...
  5. Samaki Nchanga

    Wataalam wa Mac Os X naomba msaada, nikiiwasha inakuja alama ya kuuliza

    Habari wakuu? Msaada wenu nimepewa Mac ambayo haijatumika muda mrefu kidg ukiwasha kinakuja kialama cha question mark. Sasa katika kuchokonoa na kiufahamu changu kidogo nimefika eneo la kuinstall mac ox yosemite sasa inadai Apple ID. Sasa msaada je naweza log in bila Apple ID? Na nimejaribu...
  6. Samaki Nchanga

    Nimekesha kwa kelele za chumba jirani

    Jana Nilikuwa na stress sana baada ya kutoka kazini nikaona wazi nahitaji kupumzika kwahiyo sikutaka kupitia popote Niliipofika zangu home kutokana na hali ya hewa maana kulikuwa na baridi sana sikuweza hata kuoga nikalala na usingizi ukanichukua mapema sana lakini usiku kama saa 4 nilishtuka...
  7. Samaki Nchanga

    Nafikiria kuelekea nchini Malawi kwa ajili ya kuangalia Fursa mbalimbali za kibiashara

    Nafikiria kuelekea nchini Malawi kwa ajili ya kuangalia Fursa mbalimbali za kibiashara Kwa anayeifahamu vizuri nchi hii anisaidie majibu ya maswali haya 1.Gharama za maisha zipoje mfano Hotel,Chakula 2.Lugha gani kuu 3.Miji gani ni mizuri kutembelea 4.Mila na desturi zipoje hawana ubaguzi na...
  8. Samaki Nchanga

    ABC kuhusu Nchi ya Malawi

    Nafikiria kuelekea nchini Malawi kwa ajili ya kuangalia Fursa mbalimbali za kibiashara Kwa anayeifahamu vizuri nchi hii anisaidie majibu ya maswali haya 1.Gharama za maisha zipoje mfano Hotel,Chakula 2.Lugha gani kuu 3.Miji gani ni mizuri kutembelea 4.Mila na desturi zipoje hawana ubaguzi na...
  9. Samaki Nchanga

    WENGI WAMEOMBA NA MIMI NAOMBA

    Habari wakuu Nimepitia thread mbalimbali kwnye jukwaa hili wengi wanatafuta kazi na ushauri ika ni wengi ambao tunasota kusaka ajira licha ya kuwa na proffesional mbalimbali hivyo basi nami naja mbele yenu kubwa likiwa ni kutafuta kazi Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 Nimehitimu...
  10. Samaki Nchanga

    Nauza laptop Compaq

    Jamani nina shida ya laki 3 na nusu Nauza Laptop ni compaq Ram 2gb Kwa aanyehitaji tuwasiliane hapa au PM
  11. Samaki Nchanga

    INAUZWA Compaq Laptop

    Kwa anayehitaji Laptop fasta Ipo naiuza 350,000 Nipo Dar Ram gb2 hard disk gb 300 Aliye tayari aje PM tuwasiliane
  12. Samaki Nchanga

    Nisaidieni Desktop yangu ina tatizo

    Wakuu naombeni msaada wa kiufundi au hata ushauri Desktop yangu ana ya dell haisupport usb yoyote hivyo haikubali mouse wa keyboard sijajua nafanyaje maana nilipeleka kwa fundi kuwekea Ram sasa sijui km imeaharibiwa huko ama lah lakini naombeni msaada kuna uwezekano wa kurejea kama kawaida na...
  13. Samaki Nchanga

    CPU DELL USED INAUZWA

    Nauza cpu aina ya dell ram 2gb Ina tatizo moja usb port hazisaport kama kunaatakayeina inamfaa basi tuwasiliane Bei ni Laki Moja Ipo dar 0715737920
Back
Top Bottom