Wataalam wa Mac Os X naomba msaada, nikiiwasha inakuja alama ya kuuliza

Dec 31, 2018
95
53
Habari wakuu?

Msaada wenu nimepewa Mac ambayo haijatumika muda mrefu kidg ukiwasha kinakuja kialama cha question mark.

Sasa katika kuchokonoa na kiufahamu changu kidogo nimefika eneo la kuinstall mac ox yosemite sasa inadai Apple ID.

Sasa msaada je naweza log in bila Apple ID? Na nimejaribu kucreate apple id bado inakataa
Naombeni ufafanuzi wakuu.

Nawasilisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huwezi cha kufanya
ili kuitumia hiyo PC
creat MAC BOOTBLE USB kwa disk creater kwa mac
au trasmack kwa WINDOW then fanya crean installation kwa kuhold down Option then tililika
ila utafuta kila kitu ktk hiyo MAC
halafu achana na YOSOMITE tafuta HIGH SIERA au MOJAVE then update na CATARINA

kama ana kichwa kama changu kazi ipo.

Moja kati ya vitu nawakubali Apple ni swala na security, they are the best in this world katika hii sector!! Sasa jiulize mwaka juzi au mwaka jana FBI walitaka kuingia kwenye simu ya iphone ya mtu aliyekua anatuhumiwa kwa ugaidi lakini kwa sababu hawakua na password wakashindwa!! Je kama FBI walishindwa wewe ndugu yangu mtanganyika uliye kwenye serikali ya viwonder utaweza ku bypass apple ID?

Ushauri...

Mrudishie mtumiaji aliye weka password akupe password na kama ni pc ya wizi rudisha kwa mwenye nayo maana hutaitumia.
 
huwezi cha kufanya
ili kuitumia hiyo PC
creat MAC BOOTBLE USB kwa disk creater kwa mac
au trasmack kwa WINDOW then fanya crean installation kwa kuhold down Option then tililika
ila utafuta kila kitu ktk hiyo MAC
halafu achana na YOSOMITE tafuta HIGH SIERA au MOJAVE then update na CATARINA

Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama hiyo mashine ni latest hadi ikakubali mac os mpya. Labda aweke picha ili tuone
 
Moja kati ya vitu nawakubali Apple ni swala na security, they are the best in this world katika hii sector!! Sasa jiulize mwaka juzi au mwaka jana FBI walitaka kuingia kwenye simu ya iphone ya mtu aliyekua anatuhumiwa kwa ugaidi lakini kwa sababu hawakua na password wakashindwa!! Je kama FBI walishindwa wewe ndugu yangu mtanganyika uliye kwenye serikali ya viwonder utaweza ku bypass apple ID?

Ushauri...

Mrudishie mtumiaji aliye weka password akupe password na kama ni pc ya wizi rudisha kwa mwenye nayo maana hutaitumia.
Bloomberg - Are you a robot?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom