ABC kuhusu Nchi ya Malawi

ABC kuhusu Nchi ya Malawi

Joined
Dec 31, 2018
Posts
95
Reaction score
55
Nafikiria kuelekea nchini Malawi kwa ajili ya kuangalia Fursa mbalimbali za kibiashara
Kwa anayeifahamu vizuri nchi hii anisaidie majibu ya maswali haya
1.Gharama za maisha zipoje mfano Hotel,Chakula
2.Lugha gani kuu
3.Miji gani ni mizuri kutembelea
4.Mila na desturi zipoje hawana ubaguzi na mataifa mengine maana msumbiji ni balaa muda wowote wageni mko hatarini
5.Kutoka songea hadi mji wa karibu huko malawi Niandae nauli kiasi gani
NB Kama nitafahamishwa bajeti ya jumla kutoka songea hadi malawi ntashukuru sana
 
Ngoja Wanakuja
Ila Unaondoka Tanzania Ni Pazuri Sana
Nchi Ya Asali Na Maziwa
Huko Utakwenda Kupata Tabu
 
Karibu Malawi sheikh wangu, nitakuwa mwenyeji wako. ...Nitafute
 
Kutoka songeaa nennda mbambabay to nkhatabay then via za lewa road mangochi to Blantyre andaa 500000
 
Songea? Hapana. Nenda Kyela ukivuka mpaka pale utapata basi hadi mji wa Kalonga, utapita mlima cheweta hadi Mzuzu na kupata basi la kwenda Lilongwe na Blantyre. Mji mzuri ni Blantyre, lugha ni English na Chechewa. Ila biashara fanya Lilongwe. Wanawapenda sana watz, nauli andaa 100,000 hadi Blantyre. Utapewa miezi mitatu ya kuishi, ikikaribia kuisha tuma passport mpakani ukagongewe tena. Maisha ya kawaida hawana wanawake wazuri kama Bongo. Bia ni casberg na heinekeni na castle lager kutoka south. Ukifika Blantyre tafuta bar inaitwa California kuna mademu wazuri kutoka Tz. Ngoja namalizia bia nitajazia mengine mengi
 
😂😂😂😂
Sawa mkuu
 
Hawa malawi soon wata claim ziwa lote ni lao
Magu atachegama na masoja wake kivyao.

Samahani kwa kutoka nje kabisa ya mada.
 
Back
Top Bottom