Search results

  1. MANGI MASTA

    TAHADHARI: Watumiaji wa BARABARA ya MANDELA eneo ya Buguruni sheli.

    Kumeibuka genge la vibaka na mateja wanaiba vifaa vya magari huku likiwa kwenye mwendo.Wanaiba taa za magari,side mirror,taa,na vifaa vingine pamoja na Urembo wa magari.Hawa jamaa wako fasta sana gari linapoanza kuondoka kutoka mataa ya Buguruni sheli hulikimbilia na kuchomoa..kiukweli...
  2. MANGI MASTA

    Wachina wapekua nyeti za mama zetu Mwanza eti Ukaguzi..WITO: Tuchome VIWANDA VYAO

    Nimesikitishwa na Kukasirishwa sana na kiwanda cha wachina Mwanza kuwakagua sehemu za siri akinamama eti kuona kama hawjficha chochote.Mbaya zaidi wanaingiza matambara habari hii imenitoa machozi..Na adhabu wanayostahili hawa wachina ni kuchoma viwanda vyao waondoke hapa nchini kwani najua...
  3. MANGI MASTA

    Si sahihi kwa ITV kuwapa Airtime uamsho kwa hali ilivyo sasa.

    Habriya Leo saa mbili usiku Kwa mujibu wa maadili ya vyombo vya habari hasa wakati huu wa amani tukiwa tumeiweka rehani si sahihi walivyofanya ITV 1.Kumpa airtime kiongozi wa uamshoo kutoa tamko lake la kuipa selikali masaa 26 na kuhamasisha uamsho wenzake kwa lolote litakalotangazwa. 2.Kumpa...
  4. MANGI MASTA

    Hii PICHA vip?nimeisoma siielewi

    ama kiiengeleza ndo kinanipiga chenga
  5. MANGI MASTA

    Picha: Dr.Slaa ampokea Prof. Lipumba kiaina

    Hapa ilikuwa kabla prof.Lipumba kuwasili,ilimbidi abadilishe njia kwani nyingi zilikuwa zimejaa wafuasi wa CUF,aliteremka na kusabahi.
  6. MANGI MASTA

    Picha: Kikwete hiki ni KIBURI na DHARAU kwa watanzania

    Katika kupitia magazeti hapa na pale nikakutana nakauli iliyotolewa na CUF kumtaka KIKWETE kuvunja baraza la mawaziri kwa uozo lililonao.Mwananchi 16/february,2012.juzi chadema nao wakarudia waliyosema CUF.sasa kwanni JK asiitikie wito wa watanzania hawa badala yake anaendelea kutotii.Hii si...
  7. MANGI MASTA

    CUF yatangaza kutoshiriki uchaguzi wa Arumeru Mashariki

    Naibu katibu mkuu wa CUF Mtatiro ameongea na waandishi na kutangaza kutoshiriki uchaguzi mdogo wa Arumeru mashari kwa sababu kwamba wanautaratibu wa kutoshiriki uchaguzi mdogo ambapo walikuwa namba tatu uchaguzi mkuu uliopita.Hata hivyo Mtatiro ametangaza kuwa CUF itaunga mkono chama cha...
  8. MANGI MASTA

    Kafulila ni Makamu Mwenyekiti wa chama kipya cha Hamad Rashid

    Kwataarifa kutoka watu muhimu waliokwenyemchakato wa Hamad Rashid wa Kuanzisha chama chake cha Allience for Demokratic Party(ADP)zinataja safu ya Uongozi wa chama hicho kuwa kama ifutavyo;- MWENYEKITI:HAMAD RASHID MAKAMU MWENYEKITI:KAFULILA KATIBU;FESTUS LIMBU(Alikuwa mgombea wa CUF temeke...
  9. MANGI MASTA

    Wawi kuandamana kesho kupongeza maamuzi ya CUF

    Kesho 18/01/2012: Kutakuwa na maandamano yaliyoandaliwa na wanachama wa CUF Jimbo la Wawi-Zanzibar yatakayoanza saa 2:00 asubuhi Tawi la CUF Vumba, na kumalizikia kiwanja cha mpira -Vumba kwa lengo la kupongeza baraza kuu la CUF kuwafukuza waasi wa chama hicho akiwemo aliyekuwa mbunge wa...
  10. MANGI MASTA

    Picha: Mkutano wa CUF Dar wafurika

    Jussa Ladhu - Naibu katibu mkuu Zanzibar Julius Mtatiro - Naibu katibu mkuu bara akihutubia Katibu mkuu wa CUF na rais wa kwanza wa serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar mh. Maalim Seif Hamad akihutubia Umati wa watu ukishangilia Maalim Seif akisisitiza msikamano kwa...
  11. MANGI MASTA

    Maalim Seif 'aunguruma' Manzese - Dar

    Katibu mkuu wa Chama cha wananchi CUF na Makamu wa Kwanza wa serikali ya Zanzibar, Mh. Maalim Seif Hamad leo atakuwa akihutubia katika viwanja vya Bakhresa-Manzese Dar es Salaam kuanzia saa 8 mchana. Viongozi wote wa kitaifa wa CUF watakuwepo isipokuwa Prof. Lipumba ambaye yuko Marekani kwa...
  12. MANGI MASTA

    Maalim Seif kuongea na viongozi na wanachama wa CUF wa Dsm kesho

    Katibu mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) na Makamu wa Kwanza wa Raisi serikali ya mapinduzi Zanzibar Mh.Maalim Seif Hamad ataongea na wanachama wa viongozi wa CUF wa mkoa wa Dar es salaam kesho jumapili kuanzia saa 3 asubuhi kwenye viwanja vya makao makuu ya CUF buguruni Dar es Salaam.Lengo ni...
  13. MANGI MASTA

    MAONI na MAPENDEKEZO ya CUF kwa Rais Kikwete: Soma nyaraka nzima...

    Nyaraka hiyo imetolewa kwa vyombo vya habari leo na Naibu Katibu mkuu(bara) wa CUF MH.Juliasi Mtatiro alipokuwaakiongea na waandishi wa habari Makao makuu ya CUF.
  14. MANGI MASTA

    CUF kuanika hadharani mazungumzo yao na rais baada ya kukutana nae kesho

    Kesho Chama cha Wananchi CUF kitakuwa na mazungumzo na Raisi-Ikulu kesho ilihali hakijaweka wazi nini zitakuwa ajenda. Kwa mujibu wa vyombo vya habari CUF itaanika hadharani mazungumzo yao kesho baada ya kumalizika kikao hicho na JK ilihali miongoni mwa watakaoiwakilisha CUF ni pamoaja na...
  15. MANGI MASTA

    CUF waibwaga CCM kesi ya uchaguzi Kilwa

    Leo kuanzaia saa 2 had 7 katika viwanja ya mahakama ya kilwa masoko umati wa watu ulikuwa umejaa na FFU wengi wamemwagwa eneohilo,ilikuwa ni katika kusubiri hukumu ya kesi iliyodumu takribani mwaka mmoja ambapo aliyekuwa mgombea wa ccm jimbo la Kilwa kusini wa Bw.Ramadhani Madabida alifungua...
  16. MANGI MASTA

    Picha:Chopa ya CUF Igunga

  17. MANGI MASTA

    Njama ya kuficha ukweli wa Ukatili-Urambo

    Naangalia tv hapa ni kichekesho.Wanaonekana baadhi ya wanakijiji wa Shela Urambo wakidai kwamba hakuna nyumba iliyochomwa moto kama Mh.Magdalene Sakaya mbunge viti maalumu Urambo-CUF alivyoelezea bungeni, naye mbunge wa Urambo Juma Kapuya anakiungana na wananchi hao(wengine wana kanga na mashati...
  18. MANGI MASTA

    Unyama wa serikali Urambo waanikwa bungeni na Sakaya-CUF

    Mbunge wa viti maalum CUF-Urambo, Magdalena Sakaya ameeleza jinsi polisi,askari wa wanyamapoli na maliasili walivyochoma nyumba za wakazi wa Urambo, walivyopiga risasi na kuuwa wananchi 23 wa Urambo mwaka 2010 mwezi 9. Wakazi walichomewa nyumba zao kwenye kijiji cha Pandamlohoka, askari...
  19. MANGI MASTA

    Sugu aunguruma Bungeni, atetea kazi za wasanii

    Waziri kivuli wa kambi rasmi ya upinzani mh.Sugu analihutubia bunge..ila jamaaa kweli ni mtetezi wa wasanii kwani analia sana kuhusu wizi wa kazi za wasanii. HOTUBA YAKE HII HAPA: [/CENTER]ZAIDI Soma post hii
Back
Top Bottom