Hii PICHA vip?nimeisoma siielewi

MANGI MASTA

Senior Member
Jul 14, 2011
175
56
TANZANIA OPPOSITION PROF.LIPUMBA MAALIM SEIF.FB.jpg
ama kiiengeleza ndo kinanipiga chenga
 
He is right, Tatizo huku mwishoni wame mess up, sasa wanaonekana kama hawakuwa na vision, wameishiwa nguvu muda ambao matunda yameiva na sasa yameanza kudondoka chini, lakini ndio hivyo tena, hawana hata uwezo wa kujivuta na kuyaokota, not sure ni nini kimewaparalyse namna hii.

Cha msingi ni Kwamba, Kijiti chao kimepokewa vizuri, na kimepandwa kwenye ardhi yenye rutuba, kimemwagiliwa maji kwa wakati muafaka, na kupaliliwa na wataalamu waliobobea, na sasa kimekua na kukomaa, sio kijiti tena, Limekuwa ni li mti likubwa sana, na mizizi yake yake imezama chini kabisa ardhini mpaka ndani kabisa ya roho za watanzania, Matawi yake yametapakaa kote Tanzania, watoto, vijana na wazee wote wanaurukia na kufurahia kivuli chake kwa nyuso za matumaini.

CHADEMA ITATUKOMBOA
 
Back
Top Bottom