Search results

  1. talentboy

    Napenda sana style ya nyimbo za Msami baby na mitindo yake ya kucheza kwenye video zake

    Habari wadau, Leo nimeona niseme chochote kuhusiana na huyu jamaa Msami...napenda sana style ya nyimbo zake plus mitindo yake ya kudance kwenye video zake. Jamaa ana style flani hivi ya kipekee kuanzia uimbaji hadi uchezaji...ni touches ambazo huzikuti kwa msanii mwengine ila yeye tu..ni...
  2. talentboy

    Rich Mavoko ndani ya WCB kunani?

    Wakuu na wadau wa jamvi hili habari! Nilikuwa najaribu kuwaza kwa sauti tu,hivi ni nini kinaendelea pale wcb kuhusu rich mavoko na mpango wake wa kazi...maana wenzake wamekuwa wakiachia ngoma kila leo,ila yeye yupo kimya muda mrefu sasa,na hata kupost insta amepunguza,yani c kuhusu kazi tu hata...
  3. talentboy

    HUU WIMBO UNAITWAJE NA KAIMBA MSANII GANI?

    salaam wadau wa burudani,kama kichwa kinavojieleza hapo juu,huo wimbo nimeattach clip yake hapa chini...
  4. talentboy

    Sheikh kipozeo (mzee wa Neema za Allah) kumchana diamondplatnumz live

    Sheikh aonesha kutoridhishwa na mwenendo/style anaokwenda nao mwanamziki nguli nchini diamondplatnumz....asema life style yake kwa sasa haiendani kabisa na miongozo ya imani/dini yake ya kiislamu,ni bora ajitangaze tu kuwa yupo upande wa pili. Ameeleza hayo kwa kurejea ngoma ya mwanamziki huyo...
  5. talentboy

    Maono: Kwanini Diamondplatnumz alimsaliti Zarithebosslady.

    Salaam wana jamvi! Baada ya kujiuliza maswali kadhaa nimeamua kuandika huu uzi ili wale wanaowaza kama mimi tuweze kutafakari kwa pamoja na kwa kina zaidi. Nionavyo mimi suala la Diamond kumcheat Zari halikuwa la bahati mbaya au kupitiwa na shetani kama mwenyewe anavyodai bali ilikuwa ni...
  6. talentboy

    Sultan king mkali kutoka Zenji, WCB mjipange

    Habarini wadau wa jukwaa la celeb. Leo imeamua kumleta kwenu kijana kutoka zanzibar, anaeitwa Sultan King, ni msanii wa miondoko ya bongo flavor/zenji flavor, huyu siwezi kusema ni underground la hashah, ila ni kijana mkali ambae alichelewa kuziona fursa zitokanazo na mziki mzuri anaoufanya...
  7. talentboy

    Msaada: Visa ya Brazil nchini Tanzania

    Habari zenu wakuu! Kwa ufupi tu,kwa anayejua taratibu za kupatiwa ViSA ya Nchini Brazil katika ubalozi wa Brazil uliopo Tanzania naomba anijuze mambo yafuatayo: -Ni yepi mahitaji yake(requirements) ili uweze kupatiwa hiyo visa -Ni zipi taratibu za kufuata mpaka nikamilishe mchakato mzima wa...
  8. talentboy

    Mishahara ya smz

    Habari zenu wakuu, Nilikuwa naomba kujuzwa juu ya Salary Scales kwa watumishi wa Umma(ukiwaondoa walimu)wanaoajiriwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) Weledi na wajuvi karibuni!
  9. talentboy

    Msaada: Data recovery software

    Habari wakuu.. Mi nlikuwa na shida ya software ya kurestore data na files baada ya kuformat corrupted partition ya external hdd...ntashukuru sana km ntapata ambayo ni full version ambayo nataitumia free bila restriction yyte kama vile trial version or itayonilimit kurecover certain number of...
  10. talentboy

    Data recovery software...msaada!

    Habari wakuu.. Mi nlikuwa na shida ya software ya kurestore data na files baada ya kuformat corrupted partition ya external hdd...ntashukuru sana km ntapata ambayo ni full version ambayo nataitumia free bila restriction yyte kama vile trial version or itayonilimit kurecover certain number of...
  11. talentboy

    Data recovery software...msaada!

    Habari wakuu.. Mi nlikuwa na shida ya software ya kurestore data na files baada ya kuformat corrupted partition ya external hdd...ntashukuru sana km ntapata ambayo ni full version ambayo nataitumia free bila restriction yyte kama vile trial version or itayonilimit kurecover certain number of...
  12. talentboy

    Data recovery software...solved!

    Habari wakuu.. Mi nlikuwa na shida ya software ya kurestore data na files baada ya kuformat corrupted partition ya external hdd...ntashukuru sana km ntapata ambayo ni full version ambayo nataitumia free bila restriction yyte kama vile trial version or itayonilimit kurecover certain number of...
  13. talentboy

    Je, mafanikio katika jambo fulani huletwa na bahati au juhudi binafsi?

    Habari zenu wadau, Ningeomba tupeane fikra kwa hoja zilizo shiba juu ya hii mada ili walau tujitanue kimawazo. Kuna siku katika pitapita zangu niliona vijana wakibishana juu ya hizi dhana mbili; je, ni BAHATI au JUHUDI binafsi ndo huleta mafanikio katika kulifikia jambo lolote lile ambalo mtu...
  14. talentboy

    Kweli nimeamini machoni km watu mioyoni hawana utu(kuna nini hapa)!Msaada wa mawazo unahitajika!

    Habar zn wadau. Mim ni kijana ambae nasoma chuo fulani hap nchini (mwaka wa 2),kwa kwl nimetokea kumpnda mschana mmoja ambay yy ni mwaka wa 1.Siku ya kwanz kumuona na kuanza kuvutiwa na huyu binti ilikuwa ni ktk harakati za kuchota maji cos kwa kipind hcho maji yalikuwa tabu kdg kupatkn na...
  15. talentboy

    Bangi ni nouma aisee!

    Hivi hawa jamaa walikuwa wanamaanisha kweli au?sasa huku c kutafuta kutoka kinyesi kigumu hadharani!!,Wana jf hebu tusaidianeni katka hili.
  16. talentboy

    Wadau naomba mniambie kitu ktk hili

    Habari zenu, kuna mschana mmoja ambaye ni mwanachuo mwenzangu wote tukiwa katika kozi moja. sio siri nimetokea kumpenda sana huyu mschana kutokana na sifa nyingi na vigezo ambavyo anavyo. ila tatizo huyu dada anaji sikia sana na ukizingatia hata sina mazoea nae masikini,na pia nahisi kama by...
  17. talentboy

    Wadau naomba nifahamishwe kuhusu hili.

    How and when received laws can be applicable in our courts of Tanzania?atakae toa mchango naomba anipe na references/source please!natanguliza shukran.
  18. talentboy

    MSAADA:jinsi ya kuhamisha mkopo kutoka chuo kimoja kwenda chengine.

    Hali zenu wanajf...nilikuwa naomba kujuzwa ni taratibu gani ambazo hufuatwa na mtu ambaye anataka kushift mkopo wake kutoka taasisi moja hadi nyingne.Kwa mwenye uzoefu au kujua kuhusu hili msaada wenu ni muhmu sana.Shukran
  19. talentboy

    Jamani hivi hili la kubadili chuo ulichopangwa na TCU linawezekana kweli!

    wana jf nlkuwa naomba uhakika juu ya hili suala,kama kuna mtu ana info za kutosha naomba anijuze,coz nataka kuchange chuo frm udom to udsm.Naomba msaada wenu wakuu.Nawasilisha.,bt tafadhali naomba habari za uhakika.
Back
Top Bottom