Data recovery software...msaada!

talentboy

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
2,101
2,051
Habari wakuu..
Mi nlikuwa na shida ya software ya kurestore data na files baada ya kuformat corrupted partition ya external hdd...ntashukuru sana km ntapata ambayo ni full version ambayo nataitumia free bila restriction yyte kama vile trial version or itayonilimit kurecover certain number of files only...

Kwa yeyote mwenye kuwa nayo naomba anidondeshee humu au ata link anaweza nipatia...nimejaribu kugoogle but nyingi ni trial ver.na huwezi kukopi data ambazo ni recovered mpaka upurchase full products...they are just displayed!
Natanguliza shukran
 
​Tumia Recuva Mkuu iko Fresh sana ila Ufanye Deep Scan
 
download icare data recovery then ni pm nkupe activation key utayotumia in full version milele

gharama 5000/=
 
Mimi nilitumia i-Care Data recovery data zimerudi lakn hazifunguki....mfano images (picha) na documents
 
Mkuu ingia pirate bay au fullclick24h.blogspot
Tafuta hii, ashampoo photo recovery, & Gilisoft hizi ni cracked ni ww na bundle lako tu mkuu.
Ukipata hii ndiyo kiboko hitman partition recovery ila nilitafuta crack nikakosa. Waweza tafuta utapata.
 
Tumia Mini tools data recorvery kwa aslimia 85% utarudisha vitu vyako bila shida but ina keys zake kama hutojali text me PM ntakusaidia kwa kiwango kidogo
 
Ina recover na music?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom