Msaada: Data recovery software

talentboy

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
1,858
2,000
Habari wakuu..
Mi nlikuwa na shida ya software ya kurestore data na files baada ya kuformat corrupted partition ya external hdd...ntashukuru sana km ntapata ambayo ni full version ambayo nataitumia free bila restriction yyte kama vile trial version or itayonilimit kurecover certain number of files only...

Kwa yeyote mwenye kuwa nayo naomba anidondeshee humu au ata link anaweza nipatia...nimejaribu kugoogle but nyingi ni trial ver.na huwezi kukopi data ambazo ni recovered mpaka upurchase full products...they are just displayed!
Natanguliza shukran
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,134
2,000
Ingia www.kat.ph

Tafuta torrent file ya Data Recovery...

Utaletewa za kumwaga ni wewe tu kuamua ya udownload ipi...

Hakikisha kwanza una torrent download manager kama utorrent etc.
 
Donnie Charlie

JF-Expert Member
Sep 16, 2009
8,998
2,000
Nenda kwa torrents uangalie "easy data recovery" ipo vizuri sana na utapata ambayo ipo cracked. Pia download free download manager inaruhusu kushusha data za torrents na kawaida.
 
Hossam

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
3,357
2,000
Hamna mkuu. Mie nilitibuana na wife akafuta data zote za ofisini halafu alivyokuwa katika ubora akaenda na bin kuziempty kabisa. Nilitafuta magwiji wa computer hasa data recovery wakahangaika masaa 74 zikarudi 5% tu zingine zikarudi majina tu contents hamna, isingekuwa huu utaratibu wa kuattach kila report kwenye outlook ningekosa job. Komaa kivingine data hazirudi utapoteza muda na pesa tu
 
Cysthe

Member
Jul 11, 2015
8
0

Mkuu data we hata ukifuta kwenye recycle bin, huwa kuna uwezekano wakuzirudisha, tena mkubwa tu unless umepata watu wenye uwezo huo with good forensic tools.

FBI jiulize huwa wanafanyaje kurecover data zako zakwenye hdd kama ulizifuta within a month or year tena wataweza kujua ulichomeka flash drive lini na ulifanya nini only "swap"

this world is too insane to us third parties.
Kuna RATs na baadhi ya keyloggers nikikuingizia kwenye PC yako hata uformat na upige windows vipi hazitoki.
 
Mkuu nashukuru kwa kunipa experience ila ngoja wadau wanipe maujanja kidogo...niyafanyie kazi huwenda nikabahatika kupata japo nusu ya data zangu...mkeo huwenda alienda deep sana katika kuerase izo data zako,that is why ikakugomea!
 
talentboy

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
1,858
2,000
Ingia www.kat.ph

Tafuta torrent file ya Data Recovery...

Utaletewa za kumwaga ni wewe tu kuamua ya udownload ipi...

Hakikisha kwanza una torrent download manager kama utorrent etc.
Mkuu nikishakuwa na iyo utorrent na kisha kudownload iyo ex ya data recovery itakuwa imejitosheleza au kuna kitu gani cha zaida itanibidi nikifanye...kwa sababu nahitaji ambayo ni totally free for full data recovery.
 
intelinside

JF-Expert Member
May 21, 2015
253
500
Tafuta software inaitwa testdisk it's open source and free, one of the best data recovery tool, ukitaka kuifaidi itumie kwenye Linux kama ubuntu hivi halafu hiyo disk ilofutwa data iweke kama external drive, i once recovered 90% of lost data with it...
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,134
2,000
Mkuu nikishakuwa na iyo utorrent na kisha kudownload iyo ex ya data recovery itakuwa imejitosheleza au kuna kitu gani cha zaida itanibidi nikifanye...kwa sababu nahitaji ambayo ni totally free for full data recovery.
You'll have to patch, crack or input a serial key...

Cracked file, a patch or a serial number huambatana pamoja na file lote utalo download...
 
talentboy

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
1,858
2,000
Tafuta software inaitwa testdisk it's open source and free, one of the best data recovery tool, ukitaka kuifaidi itumie kwenye Linux kama ubuntu hivi halafu hiyo disk ilofutwa data iweke kama external drive, i once recovered 90% of lost data with it...
Vipi kwa kama natumia window 7 as OS haitafunction properly?na kama haina shida kwa window 7 ntashukuru sana mkuu kama utanisaidia direct link ili nkaipakue.natanguliza shukran!
 
Hossam

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
3,357
2,000
Mkuu data we hata ukifuta kwenye recycle bin, huwa kuna uwezekano wakuzirudisha, tena mkubwa tu unless umepata watu wenye uwezo huo with good forensic tools.

FBI jiulize huwa wanafanyaje kurecover data zako zakwenye hdd kama ulizifuta within a month or year tena wataweza kujua ulichomeka flash drive lini na ulifanya nini only "swap"

this world is too insane to us third parties.
Kuna RATs na baadhi ya keyloggers nikikuingizia kwenye PC yako hata uformat na upige windows vipi hazitoki.
Sure, wacha nicheki na jamaa wa FBI kama ulivyoshauri then ntamuunganisha jamaa ili wa just "swap".
 
wakusoma

JF-Expert Member
Feb 25, 2008
1,065
2,000
Ninayo full version ya ofcn inaurudisha kila kitu hata kama ulifuta 5 years back...ni pm...leta mpunga niku kopie
 
talentboy

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
1,858
2,000
ukisha install setup then extract hiyo hiyo crack kisha open then patch
Mkuu mbn nimefanya km ulivoelekeza bt bdo inadai code...au mimi ndo nimekosea procedure?baada ya kuinstall setup..nikaextract iyo crack zikaja mbili ya 64 n 32 bits...nkaikopy n kupest iyo ya 32 kwny directory folder bt imegoma au ukishaiextract iyo patch nay niirun?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom